Wed Apr 19 2023 05:25:45 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-19 05:25:46 -07:00
parent 442e6cb911
commit f7f679137b
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 16 \v 17 16 Lakini akakawia-kawia. Kwa hiyo watu wale wakamshika mkono wake, na mkono wa mkewe, na mikono ya binti zake wawili, kwa sababu Yahwe alimhurumia. Wakawatoa nje, na kuwaweka nje ya mji. 17 Wakisha kuwatoa nje mmoja wa wale watu akasema, "jiponye nafsi yako! usitazame nyuma, au usikae mahali popote kwenye hili bonde. Toroka uende milimani ili kwamba usije ukatoweshwa mbali."
\v 16 Lakini akakawia-kawia. Kwa hiyo watu wale wakamshika mkono wake, na mkono wa mkewe, na mikono ya binti zake wawili, kwa sababu Yahwe alimhurumia. Wakawatoa nje, na kuwaweka nje ya mji. \v 17 Wakisha kuwatoa nje mmoja wa wale watu akasema, "Jiponye nafsi yako! Usitazame nyuma, au usikae mahali popote kwenye hili bonde. Toroka uende milimani ili kwamba usije ukatoweshwa mbali."