Tue Apr 18 2023 20:15:31 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)
This commit is contained in:
parent
044ceaef02
commit
f49c1f589a
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 29 \v 30 \v 31 \v 32 29 Wakaenda kwa Yakobo, baba yao katika nchi ya Kanaani na kumwambia yote yaliyowapata. 30 Wakasema, "Yule mtu, bwana wa nchi, aliongea nasi kwa ukali na kutudhania kuwa wapelelezi katika nchi. 31 Tukamwambia, 'Tu watu wa kweli sisi. Sisi siyo wapelelezi. 32 Tupo ndugu kumi na wawili, wana wa baba yetu. Mmoja hayupo hai tena, na mdogo yupo na baba yetu katika nchi ya Kanaani."
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 33 \v 34 33 Yule mtu, bwana wa nchi, akatwambia, 'Kwa hili nitajua kwamba ni watu wa kweli ninyi. Mwacheni mmojawapo wa ndugu zenu, chukueni chakula kwa ajili ya njaa katika nyumba zenu, na mwondoke. 34 Mleteni mdogo wenu kwangu. Ndipo nitakapojua kwamba ninyi si wapelelezi, lakini ni watu wa kweli. Kisha nitamwachilia ndugu yenu, na mtafanya biashara katika nchi."
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 35 \v 36 35 Ikawa walipoyafungua magunia yao, na tazama, kila mfuko wa fedha wa mmojawao ulikuwa katika gunia lake. Wakati wao na baba yao walipoona mifuko yao ya fedha, wakaogopa. 36 Yakobo baba yao akawambia, "Mmeniharibia watoto wangu. Yusufu hayupo hai tena, Simoni ameondoka, nanyi mmpeleke Benjamini naye. Mambo haya yote ni kunyume changu."
|
|
@ -0,0 +1,2 @@
|
|||
\v 37 \v 38 37 Rubeni akamwambia baba yake, kusema, "Unaweza kuwaua wanangu wawili nisipomrudisha Benjamini kwako.
|
||||
Mweke mikononi mwangu, nami nitamrudisha tena kwako." 38 Yakobo akasema, "Mwanangu atashuka pamoja nanyi. Kwani ndugu yake amekufa na yeye peke yake amebaki. Ikiwa madhara yatampata katika njia mnayoiendea, ndipo mtakapozishusha mvi zangu kaburini kwa huzuni."
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\c 43 \v 1 \v 2 1 Njaa ilikuwa kali katika nchi. 2 Ikawa walipokuwa wametumia chakula chote walichokitoa Misri, baba yao akawambia, "Nendeni tena; mtununulie chakula."
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 3 \v 4 \v 5 3 Yuda akamwambia, "Yule mtu alituonya kwa ukali, 'Hamtauona uso wangu ndugu yenu asipokuwa nanyi.' 4 Ikiwa utamtuma ndugu yetu pamoja nasi, tutashuka na kuwanunulia chakula. 5 Lakini usipompeleka, hatutashuka. Kwa maana yule mtu alitwambia, 'Hamtauona uso wangu ndugu yenu asipokuwa nanyi."
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Sura 43
|
Loading…
Reference in New Issue