Tue Apr 18 2023 20:05:30 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)
This commit is contained in:
parent
cd8bae3ba6
commit
f2e2256b4b
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 4 \v 5 \v 6 4 Kisha wale ng'ombe wasiopendeza na waliokonda wakawala wale waliokuwa wanapendeza na walionenepa. 5 Kisha Farao akaamka. Kisha akalala na kuota mara ya pili. Tazama, masuke saba ya nafaka yalichipua katika mche mmoja, mema na mazuri. 6 Tazama, masuke saba, membamba na yaliyokaushwa na upepo wa mashariki, yakachipua baada yake.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 7 \v 8 7 Masuke membamba yakayameza yale masuke saba mema yote. Farao akaamka, na, tazama, ilikuwa ni ndoto tu. 8 Ikawa wakati wa asubuhi roho yake ikafadhaika. Akatuma na kuwaita waganga na wenye hekima wote wa Misri. Farao akawasimulia ndoto zake, lakini hakuna aliyeweza kumtafsiria Farao.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 9 \v 10 \v 11 9 Kisha mkuu wa wanyweshaji akamwambia Farao, "Leo ninayafikiri makosa yangu. 10 Farao aliwakasirikia watumishi wake, na kutuweka kifungoni katika nyumba ya kapteni wa walinzi, mkuu wa waokaji na mimi. 11 Tuliota ndoto usiku huo mmoja, yeye na mimi. Kila mmoja aliota kwa kadiri ya tafsiri yake.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 12 \v 13 12 Pamoja nasi kulikuwa na kijana Mwebrania, mtumishi wa kapteni wa walinzi. Tulimwambia na akatutafsiria ndoto zetu. Alitutafsiria kila mmoja wetu kulingana na ndoto yake. 13 Ikawa kama alivyotutafsiria, ndivyo ilivyokuwa. Farao alinirudisha katika nafasi yangu, lakini akamtundika yule mwingine."
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 14 \v 15 \v 16 14 Ndipo Farao alipotuma na kumwita Yusufu. Kwa haraka wakamtoa gerezani. Akajinyoa mwenyewe, akabadili mavazi yake, na akaingia kwa Farao. 15 Farao akamwambia Yusufu, "Nimeota ndoto, lakini hakuna wa kuitafsiri. Lakini nimesikia kuhusu wewe, kwamba unaposikia ndoto unaweza kuitafsiri." 16 Yusufu akamjibu Farao, kusema, "Siyo katika mimi. Mungu atamjibu Farao kwa uhakika."
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 17 \v 18 17 Farao akamwambia Yusufu, "Katika ndoto yangu, tazama, nilisimama katika ukingo wa Nile. 18 Tazama, ng'ombe saba wakatoka ndani ya mto Nile, wanene na wakuvutia, nao wakajilisha katika nyasi.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 19 \v 20 \v 21 19 Tazama, ng'ombe wengine saba wakapanda baada yao, dhaifu, wabaya, na wembaba. Sijawahi kuona wabaya kama hao katika nchi yote ya Misri. 20 Wale ng'ombe wembamba na wabaya wakawala wale ng'ombe saba na wanene. 21 Walipokuwa wamemaliza kuwala wote, haikujulikana kama walikuwa wamewala, kwani walibaki wabaya kama mwanzo. Kisha nikaamka.
|
Loading…
Reference in New Issue