Wed Apr 19 2023 07:53:51 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-19 07:53:52 -07:00
parent 599eccb91b
commit d67b59591b
4 changed files with 6 additions and 4 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 8Lakini ikiwa mwanamke hatakuwa tayari, ndipo utakuwa huru katika hiki kiapo changu. Cha muhimu tu ni kwamba usije ukamrudisha mwanangu huko." \v 9 Kwa hiyo mtumwa akaweka mkono wake chini ya paja la Abraham bwana wake, na akaapa kuhusiana na jambo hili. \v 8 Lakini ikiwa mwanamke hatakuwa tayari, ndipo utakuwa huru katika hiki kiapo changu. Cha muhimu tu ni kwamba usije ukamrudisha mwanangu huko." \v 9 Kwa hiyo mtumwa akaweka mkono wake chini ya paja la Abraham bwana wake, na akaapa kuhusiana na jambo hili.

View File

@ -1 +1 @@
\v 10 10 Mtumwa akachukua ngamia kumi wa bwana wake na akaondoka. Akachukua pia aina zote za zawadi kutoka kwa bwana wake. Akaondoka na kwenda katika mkoa wa Aramu Naharaimu, mji wa Nahori. \v 11 11 Akawapigisha magoti ngamia nje ya mji karibu na kisima cha maji. Ilikuwa jioni wakati ambao wanawake huenda kuchota maji. \v 10 Mtumwa akachukua ngamia kumi wa bwana wake na akaondoka. Akachukua pia aina zote za zawadi kutoka kwa bwana wake. Akaondoka na kwenda katika mkoa wa Aramu Naharaimu, mji wa Nahori. \v 11 Akawapigisha magoti ngamia nje ya mji karibu na kisima cha maji. Ilikuwa jioni wakati ambao wanawake huenda kuchota maji.

View File

@ -1,2 +1,2 @@
\v 12 12 Kisha akasema, "Yahwe, Mungu wa bwana wangu Abraham, anijalie kufanikiwa leo na aoneshe agano la uaminifu kwa bwana wangu Abraham. \v 13 13 Tazama, nimesimama hapa karibu na chemchemi ya maji na mabinti za watu wa mji wanakuja kuteka maji. \v 14 14 Na itokee hivi kwamba. Nikimwambia msichana, tafadhali tua mtungi wako ili niweze kunywa maji,' na akiniambia, 'Kunywa, na kwamba nitawanywesha ngamia wako pia,' huyo ndiye ambaye umemchagulia mtumwa wako Isaka. \v 12 Kisha akasema, "Yahwe, Mungu wa bwana wangu Abraham, anijalie kufanikiwa leo na aoneshe agano la uaminifu kwa bwana wangu Abraham. \v 13 Tazama, nimesimama hapa karibu na chemchemi ya maji na mabinti za watu wa mji wanakuja kuteka maji. \v 14 14 Na itokee hivi kwamba. Nikimwambia msichana, tafadhali tua mtungi wako ili niweze kunywa maji,' na akiniambia, 'Kunywa, na kwamba nitawanywesha ngamia wako pia,' huyo ndiye ambaye umemchagulia mtumwa wako Isaka.
Kwa njia hii nitajua kuwa umeonyesha agano la uaminifu kwa bwana wangu." Kwa njia hii nitajua kuwa umeonyesha agano la uaminifu kwa bwana wangu."

View File

@ -304,6 +304,8 @@
"23-17", "23-17",
"23-19", "23-19",
"24-01", "24-01",
"24-05" "24-05",
"24-08",
"24-10"
] ]
} }