diff --git a/17/19.txt b/17/19.txt index 2506252..14f4633 100644 --- a/17/19.txt +++ b/17/19.txt @@ -1,3 +1,3 @@ -\v 19 Mungu akasema, "Hapana, Sarai mkeo atakuzalia mtoto wa kiume na utamwita jina lake Isaka. Nita imarisha agano langu na yeye kama agano la milele pamoja na uzao wake baada yake. \v 20 20 Na kwa habari ya Ishmaeli nimekusikia. Tazama, ninambariki, na nitamfanya kuwa na uzao na kumzidisha maradufu. -Atakuwa baba wa viongozi kumi na mbili wa makabila, na nitamfanya kuwa taifa kuu. \v 21 21 Lakini +\v 19 Mungu akasema, "Hapana, Sarai mkeo atakuzalia mtoto wa kiume na utamwita jina lake Isaka. Nita imarisha agano langu na yeye kama agano la milele pamoja na uzao wake baada yake. \v 20 Na kwa habari ya Ishmaeli nimekusikia. Tazama, ninambariki, na nitamfanya kuwa na uzao na kumzidisha maradufu. +Atakuwa baba wa viongozi kumi na mbili wa makabila, na nitamfanya kuwa taifa kuu. \v 21 Lakini agano langu nitalifanya imara na Isaka, ambaye Sarai atazaa kwako majira haya mwakani." \ No newline at end of file