Tue Apr 18 2023 12:00:16 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)
This commit is contained in:
parent
4616cdf048
commit
cbe07088ff
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 15 \v 16 15 Abimeleki akasema, Tazama, Nchi yangu i mbele yako. Kaa mahali utakapopendezewa." 16 Na kwa Sara akasema, Tazama, nimempatia kaka yako vipande elfu vya fedha. Navyo ni kwa ajili ya kufunika kosa lolote dhidi yako machoni pa wote walio pamoja na wewe, na mbele ya kila mtu ambaye umemfanya kuwa na haki."
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 17 \v 18 17 Kisha Abraham akaomba kwa Mungu, Na Mungu akamponya Abimeleki, mkewe, na watumwa wake wa kike kiasi kwamba wakaweza kupata watoto. 18 Kwa kuwa Yahwe alikuwa amewafanya wanawake wote wa nyumaba ya Abimeleki kuwa tasa kabisa, kwa sababu ya Sara, mke wa Abraham.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\c 21 \v 1 \v 2 \v 3 \v 4 1 Yahwe akamsikiliza Sara kwa umakini kama alivyo kuwa amemwambia, Yahwe akamfanyia Sara kama alivyo kuwa amemwahidi. 2 Sara akachukua mimba na akamzalia Abraham mtoto wa kiume katika uzee wake, katika muda ule ule ambao Mungu alikuwa amemwambia. 3 Abraham akamwita jina mwanawe, ambaye alizaliwa kwake, na Sara, Isaka. 4 Abraham akamtahiri mwanawe Isaka alipofikisha siku nane, kama vile Mungu alivyokuwa amemwagiza.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Sura 21
|
Loading…
Reference in New Issue