Tue Apr 18 2023 12:32:17 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)
This commit is contained in:
parent
9beaeb4018
commit
c2cc2dbae6
|
@ -1,2 +1,2 @@
|
|||
12 Kisha akasema, "Yahwe, Mungu wa bwana wangu Abraham, anijalie kufanikiwa leo na aoneshe agano la uaminifu kwa bwana wangu Abraham. 13 Tazama, nimesimama hapa karibu na chemchemi ya maji na mabinti za watu wa mji wanakuja kuteka maji. 14 Na itokee hivi kwamba. Nikimwambia msichana, tafadhali tua mtungi wako ili niweze kunywa maji,' na akiniambia, 'Kunywa, na kwamba nitawanywesha ngamia wako pia,' huyo ndiye ambaye umemchagulia mtumwa wako Isaka.
|
||||
\v 12 \v 13 \v 14 12 Kisha akasema, "Yahwe, Mungu wa bwana wangu Abraham, anijalie kufanikiwa leo na aoneshe agano la uaminifu kwa bwana wangu Abraham. 13 Tazama, nimesimama hapa karibu na chemchemi ya maji na mabinti za watu wa mji wanakuja kuteka maji. 14 Na itokee hivi kwamba. Nikimwambia msichana, tafadhali tua mtungi wako ili niweze kunywa maji,' na akiniambia, 'Kunywa, na kwamba nitawanywesha ngamia wako pia,' huyo ndiye ambaye umemchagulia mtumwa wako Isaka.
|
||||
Kwa njia hii nitajua kuwa umeonyesha agano la uaminifu kwa bwana wangu."
|
|
@ -0,0 +1,2 @@
|
|||
\v 15 \v 16 15 Ikawa kwamba
|
||||
hata kabla hajamaliza kuzungumza, tazama, Rebeka akaja akiwa na mtungi wake wa maji begani mwake. Rebeka alizaliwa na Bethueli mwana wa Milka, mke wa Nahori, ndugu yake na Abraham. 16 Msichana huyu alikuwa mzuri na alikuwa bikira. Hapana mwanaume aliye kuwa amekwisha lala naye. Akashuka kisimani na kuujaza mtungi wake, na kupanda juu.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 17 \v 18 17 Kisha mtumwa yule akakimbia kumlaki yule msichana, na kusema, "Tafadhali nipatie maji kidogo ya kunywa kutoka katika mtungi wako." 18 Akasema, "kunywa tafadhari bwana wangu," na kwa haraka akatua mtungi wake juu ya mkono wake, na akampatia maji ya kunywa.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
19 Alipokuwa amemaliza kumpatia maji, akasema, "Nitachota maji kwa ajili ya ngamia wako pia, mpaka watakapomaliza kunywa." 20 Hivyo akaharakisha akamwaga maji yaliyokuwa mtungini kwenye chombo cha kunyweshea mifugo, kisha akakimbia tena kisimani kuchota maji, na kuwanywesha ngamia wake wote.
|
Loading…
Reference in New Issue