diff --git a/14/21.txt b/14/21.txt index 5d4f8ea..a46416a 100644 --- a/14/21.txt +++ b/14/21.txt @@ -1 +1 @@ -\v 21 Mfalme wa Sodoma akamwambia Abram, "Nipatie watu, na ujichukulie wewe mwenyewe mali." \v 22 Abram akamwambia mfalme wa Sodoma, "Nimeinua juu mkono wangu kwa Yahwe, Mungu aliye juu sana, muumbaji wa mbingu na nchi, \v 23 kwamba sitachukua uzi wala gidamu ya kiatu, au kitu chochote ambacho ni chako, ili kwamba usiseme, 'imemfanya Abram kuwa tajiri.' \v 24 Sitachukua chochote isipokuwa kile ambacho vijana wamekula na sehemu za watu waliokwenda nami. Aneri, Eskoli, na Mamre na wachukue sehemu zao." \ No newline at end of file +\v 21 Mfalme wa Sodoma akamwambia Abram, "Nipatie watu, na ujichukulie wewe mwenyewe mali." \v 22 Abram akamwambia mfalme wa Sodoma, "Nimeinua juu mkono wangu kwa Yahwe, Mungu aliye juu sana, muumbaji wa mbingu na nchi, \v 23 kwamba sitachukua uzi wala gidamu ya kiatu, au kitu chochote ambacho ni chako, ili kwamba usiseme, 'Nimemfanya Abram kuwa tajiri.' \v 24 Sitachukua chochote isipokuwa kile ambacho vijana wamekula na sehemu za watu waliokwenda nami. Aneri, Eskoli, na Mamre na wachukue sehemu zao." \ No newline at end of file