Tue Apr 18 2023 11:24:14 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-18 11:24:14 -07:00
parent 23270d5971
commit b2187e629d
4 changed files with 4 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
22 Alipo kuwa amemaliza kuzungumza naye, Mungu akaondoka kwa Abraham. 23 Kisha Abraham akamtwaa Ishmaeli mwanawe, na wote ambao walizaliwa katika nyumba yake, na wote ambao walinunuliwa kwa fedha yake, kila mwanaume miongoni mwa watu wa nyumba ya Abraham, walitahiriwa mwili wa magovi ya ngozi ya mbele katika siku iyo hiyo, kama Mungu alivyo kuwa amesema.
\v 22 \v 23 22 Alipo kuwa amemaliza kuzungumza naye, Mungu akaondoka kwa Abraham. 23 Kisha Abraham akamtwaa Ishmaeli mwanawe, na wote ambao walizaliwa katika nyumba yake, na wote ambao walinunuliwa kwa fedha yake, kila mwanaume miongoni mwa watu wa nyumba ya Abraham, walitahiriwa mwili wa magovi ya ngozi ya mbele katika siku iyo hiyo, kama Mungu alivyo kuwa amesema.

1
17/24.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 24 \v 25 \v 26 \v 27 24 Abraham alikuwa na umri wa miaka tisini na tisa alipotahiriwa katika mwili wa govi la ngozi yake ya mbele. 25 Na Ishmaeli mwanawe alikuwa na umri wa miaka kumi na tatu alipotahiriwa katika mwili wa govi la ngozi yake ya mbele. 26 Siku ile ile ambayo wote wawili Abraham na Ishmael mwanawe walipotahiriwa, ndipo 27 wanaume wote wa nyumba yake walitahiriwa pia, hawa ni pamoja na wale waliozaliwa katika nyumba ile na wale walionunuliwa kwa fedha kutoka kwa mgeni.

1
18/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 18 \v 1 \v 2 1 Yahwe alimtokea Abraham katika Mialoni ya Mamre, alipokua ameketi mlangoni pa hema wakati wa jua. 2 Akatazama juu na, tazama, akaona wanaume watatu wamesimama mbele yake. Alipo waona, alikimbia kupitia mlango wa hema kuwalaki na kuinama chini hadi ardhini.

1
18/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 18