Wed Apr 19 2023 08:59:52 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-19 08:59:53 -07:00
parent a767ed277a
commit b1f092d396
4 changed files with 4 additions and 4 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 29 \v 30 29 Yakobo akapika mchuzi. Esau akaja kutoka nyikani, akiwa dhaifu kutokana na njaa. 30 Esau akamwambia Yakobo, "Nilishe mchuzi mwekundu. Tafadhari, nimechoka!" Na hii ndiyo sababu jina lake aliitwa Edomu.
\v 29 Yakobo akapika mchuzi. Esau akaja kutoka nyikani, akiwa dhaifu kutokana na njaa. \v 30 Esau akamwambia Yakobo, "Nilishe mchuzi mwekundu. Tafadhari, nimechoka!" Na hii ndiyo sababu jina lake aliitwa Edomu.

View File

@ -1 +1 @@
\v 31 \v 32 \v 33 \v 34 31 Yakobo akasema, "Kwanza uniuzie haki yako ya mzaliwa wa kwanza." 32 Esau akasema, "Tazama, nakaribia kufa. Ni nini kwangu haki ya mzaliwa wa kwanza?" 33 Yakobo akasema, "Kwanza uape kwangu mimi," kwa hiyo Esau akaapa kiapo na kwa njia hii akawa ameuza haki yake ya mzaliwa wa kwanza kwa Yakobo. 34 Yakobo akampatia Esau mkate pamoja na mchuzi wa dengu. Akala na kunywa, kisha akainuka na akaenda zake. Kwa njia hii Esau akawa ameidharau haki yake ya mzaliwa wa kwanza.
\v 31 Yakobo akasema, "Kwanza uniuzie haki yako ya mzaliwa wa kwanza." \v 32 Esau akasema, "Tazama, nakaribia kufa. Ni nini kwangu haki ya mzaliwa wa kwanza?" \v 33 Yakobo akasema, "Kwanza uape kwangu mimi," kwa hiyo Esau akaapa kiapo na kwa njia hii akawa ameuza haki yake ya mzaliwa wa kwanza kwa Yakobo. \v 34 Yakobo akampatia Esau mkate pamoja na mchuzi wa dengu. Akala na kunywa, kisha akainuka na akaenda zake. Kwa njia hii Esau akawa ameidharau haki yake ya mzaliwa wa kwanza.

View File

@ -1 +1 @@
\c 26 \v 1 1 Basi njaa ikatokea katika nchi, mbali na njaa ya kwanza iliyotokea siku za Ibrahimu. Isaka akaenda kwa Abimeleki, mfalme wa Wafilisiti huko Gerari.
\c 26 \v 1 Basi njaa ikatokea katika nchi, mbali na njaa ya kwanza iliyotokea siku za Ibrahimu. Isaka akaenda kwa Abimeleki, mfalme wa Wafilisiti huko Gerari.

View File

@ -1 +1 @@
\v 2 \v 3 2 Basi Yahwe akamtokea na kumwambia, "Usishuke kwenda Misri; kaa katika nchi niliyokuambia. 3 Kaa katika nchi hii hii niliyokuambia, nami nitakuwa pamoja nawe na kukubariki; kwani kwako wewe na uzao wako, nitawapa nchi hii yote, nami nitatimiza kiapo nilichomwapia Ibrahimu baba yako.
\v 2 Basi Yahwe akamtokea na kumwambia, "Usishuke kwenda Misri; kaa katika nchi niliyokuambia. \v 3 Kaa katika nchi hii hii niliyokuambia, nami nitakuwa pamoja nawe na kukubariki; kwani kwako wewe na uzao wako, nitawapa nchi hii yote, nami nitatimiza kiapo nilichomwapia Ibrahimu baba yako.