Tue Apr 18 2023 20:47:35 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)
This commit is contained in:
parent
8a1bc78894
commit
b16a962cf2
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 24 24 Lakini upinde wake utakuwa imara, na mikono yake itakuwa hodari kwa sababu ya mikono ya Mwenye nguvu wa Yakobo, kwa ajili ya jina la Mchungaji, Mwamba wa Israeli.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 25 25 Mungu wa baba yako atakusaidia na Mungu Mwenye enzi atakubariki kwa baraka ya mbinguni juu, baraka za vilindi vilivyo chini, na baraka za maziwa na mimba.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 26 26 Baraka za baba yako ni kuu kuliko baraka za milima ya zamani au vitu vilivyotamaniwa vya milima ya kale. Na viwe katika kichwa cha Yusufu, hata juu ya taji ya kifalme kichwani pa ndugu zake.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 27 27 Benjamini ni mbwamwitu mwenye njaa. Wakati wa asubuhi atararua mawindo, na jioni atagawa mateka."
|
|
@ -0,0 +1,2 @@
|
|||
\v 28 \v 29 \v 30 28 Haya ni makabila kumi na mawili ya Israeli.
|
||||
Hiki ndicho baba yao alichowambia alipowabariki. Aliwabariki kila mmoja kwa baraka iliyomstahili. 29 Kisha akawaelekeza na kuwaambia, "Ninakaribia kwenda kwa watu wangu. Mnizike pamoja na babu zangu katika pango lililoko katika shamba la Efroni Mhiti, 30 katika pango lililo katika shamba la Makpela, karibu na Mamre katika nchi ya Kanaani, shamba Ibrahimu alilolinunua kwa Efron Mhiti kwa ajili ya eneo la kuzikia.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 31 \v 32 \v 33 31 Pale walimzika Ibrahimu na Sara mkewe; pale wakamzika Isaka na Rebeka mkewe; na pale nikamzika Lea. 32 Shamba na pango lililomo lilinunuliwa kutoka kwa watu wa Hethi." 33 Yakobo alipomaliza maagizo hayo kwa wanawe, akaiweka miguu yake kitandani, akakata roho, akawaendea watu wake.
|
|
@ -0,0 +1,2 @@
|
|||
\c 50 \v 1 \v 2 \v 3 1 Yusufu akahuzunika sana hata akauangukia uso wa baba yake, akamlilia, na kumbusu. 2
|
||||
Yusufu akawaagiza watumishi wake matabibu kumtia dawa babaye. Hivyo matabibu wakampaka dawa Israeli. 3 Wakatimiza siku arobaini, kwani huo ndio uliokuwa muda kamili wa kutia dawa. Wamisri wakamlilia kwa siku sabini
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Sura 50
|
Loading…
Reference in New Issue