From a6695e8a5005d840a305ed2095ed1dab3173e57c Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: tsDesktop Date: Tue, 18 Apr 2023 12:36:18 -0700 Subject: [PATCH] Tue Apr 18 2023 12:36:17 GMT-0700 (Pacific Daylight Time) --- 24/28.txt | 2 +- 24/31.txt | 1 + 24/33.txt | 3 +++ 24/36.txt | 1 + 4 files changed, 6 insertions(+), 1 deletion(-) create mode 100644 24/31.txt create mode 100644 24/33.txt create mode 100644 24/36.txt diff --git a/24/28.txt b/24/28.txt index ba46881..39c5c63 100644 --- a/24/28.txt +++ b/24/28.txt @@ -1 +1 @@ -28 Kisha yule msichana akakimbia na kwenda kuwaeleza watu wa nyumba ya mama yake juu ya mambo yote haya. 29 Na sasa Rebeka alikuwa na kaka yake, jina lake aliitwa Labani. Labani akakimbia kwa yule mtu aliye kuwa nje barabarani karibu na kisima. 30 Akisha kuona hereni ya puani pamoja na zile bangili kwenye mikono ya dada yake, na kusikia maneno ya Rebeka dada yake, "Hivi ndivyo yule mtu alicho niambia," alikwenda kwa yule mtu, na, Tazama, alikuwa amesimama karibu na ngamia pale kisimani. \ No newline at end of file +\v 28 \v 29 \v 30 28 Kisha yule msichana akakimbia na kwenda kuwaeleza watu wa nyumba ya mama yake juu ya mambo yote haya. 29 Na sasa Rebeka alikuwa na kaka yake, jina lake aliitwa Labani. Labani akakimbia kwa yule mtu aliye kuwa nje barabarani karibu na kisima. 30 Akisha kuona hereni ya puani pamoja na zile bangili kwenye mikono ya dada yake, na kusikia maneno ya Rebeka dada yake, "Hivi ndivyo yule mtu alicho niambia," alikwenda kwa yule mtu, na, Tazama, alikuwa amesimama karibu na ngamia pale kisimani. \ No newline at end of file diff --git a/24/31.txt b/24/31.txt new file mode 100644 index 0000000..dac519d --- /dev/null +++ b/24/31.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 31 \v 32 31 Labani akasema, "Njoo, wewe uliye barikiwa na Yahwe. Kwa nini umesimama nje? nimekwisha andaa nyumba, pamoja na mahali kwa ajili ya ngamia." 32 Kwa hiyo yule mtu akaingia ndani ya nyumba na akashusha mizigo kutoka kwa wale ngamia. Ngamia wakapatiwa malisho na chakula, na maji yakatolewa kuosha miguu yake pamoja na miguu ya wale watu aliokuwa pamoja nao. \ No newline at end of file diff --git a/24/33.txt b/24/33.txt new file mode 100644 index 0000000..3aeef4b --- /dev/null +++ b/24/33.txt @@ -0,0 +1,3 @@ +\v 33 \v 34 \v 35 33 Wakaandaa chakula mbele yake ale, lakini akasema, "Sitakula mpaka niseme kile ninacho paswa kusema." Kwa hiyo Labani akamwambia, "Sema." 34 Akasema, "Mimi ni mtumwa wa Abraham. +35 Yahwe amembariki sana bwana wangu na amekuwa mtu mkuu. Amempatia mifugo na +makundi ya wanyama, fedha, dhahabu, watumwa wa kiume na watumwa wa kike, pamoja na ngamia na punda. \ No newline at end of file diff --git a/24/36.txt b/24/36.txt new file mode 100644 index 0000000..1f7b689 --- /dev/null +++ b/24/36.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 36 \v 37 \v 38 36 Sara, mke wa bwana wangu, alimzalia mwana bwana wangu alipokuwa mzee, na amempatia mwanawe kila kitu anachomiliki. 37 Bwana wangu aliniapisha, akisema, "Usije ukampatia mwanangu mke kutoka kwa mabinti wa Wakanaani, ambao kwao nimefanya makazi. 38 Badala yake, lazima uende kwa familia ya baba yangu, na kwa ndugu zangu, na kupata mke kwa ajili ya mwanangu.' \ No newline at end of file