Wed Apr 19 2023 08:39:52 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)
This commit is contained in:
parent
9e0e90a379
commit
a4a3ecd1ba
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 45 45 Ikawa hata kabla sijamaliza kuzungumza moyoni mwangu, Tazama, Rebeka akaja na mtungi wake juu ya bega lake akashuka chini kisimani akachota maji. Hivyo nikamwambia, 'Tafadhali nipatie maji ninywe.' \v 46 46 Ndipo kwa haraka alipoushusha mtungi wake begani mwake na akasema, 'Kunywa, na pia nitawapatia maji ngamia wako.' Kwa hiyo nikanywa, na akawanywesha ngamia pia.
|
||||
\v 45 Ikawa hata kabla sijamaliza kuzungumza moyoni mwangu, Tazama, Rebeka akaja na mtungi wake juu ya bega lake akashuka chini kisimani akachota maji. Hivyo nikamwambia, 'Tafadhali nipatie maji ninywe.' \v 46 Ndipo kwa haraka alipoushusha mtungi wake begani mwake na akasema, 'Kunywa, na pia nitawapatia maji ngamia wako.' Kwa hiyo nikanywa, na akawanywesha ngamia pia.
|
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 47 47 Nikamuuliza na kusema, 'Wewe ni binti wa nani?' Akasema, 'Binti wa Bethueli, Mwana wa Nahori, ambaye Milka alizaa kwake.' Kisha nikamwekea pete puani mwake pamoja na bangili mikononi mwake. \v 48 48 Kisha nikainama chini nikamwabudu Yahwe, na kumbariki Yahwe, Mungu wa bwana wangu Abraham, ambaye ameniongoza katika njia sahihi kumpata binti wa ndugu za bwana wangu kwa ajili ya mwanawe.
|
||||
\v 47 Nikamuuliza na kusema, 'Wewe ni binti wa nani?' Akasema, 'Binti wa Bethueli, Mwana wa Nahori, ambaye Milka alizaa kwake.' Kisha nikamwekea pete puani mwake pamoja na bangili mikononi mwake. \v 48 Kisha nikainama chini nikamwabudu Yahwe, na kumbariki Yahwe, Mungu wa bwana wangu Abraham, ambaye ameniongoza katika njia sahihi kumpata binti wa ndugu za bwana wangu kwa ajili ya mwanawe.
|
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 49 49 Kwa hiyo, ikiwa mko tayari kumfanyia rehema na kweli, niambieni. Lakini kama sivyo, niambieni, ili kwamba niweze kwenda upande wa kulia, au kushoto."
|
||||
\v 49 Kwa hiyo, ikiwa mko tayari kumfanyia rehema na kweli, niambieni. Lakini kama sivyo, niambieni, ili kwamba niweze kwenda upande wa kulia, au kushoto."
|
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 50 50 Ndipo Labani na Bethueli wakajibu na kusema, "Jambo hili limetoka kwa Yahwe; hatuwezi kusema kwako aidha neno baya au zuri. \v 51 51 Tazama, Rebeka yu mbele yako. Mchukue na uende, ili awe mke wa mtoto wa bwana wako, kama Yahwe alivyosema."
|
||||
\v 50 Ndipo Labani na Bethueli wakajibu na kusema, "Jambo hili limetoka kwa Yahwe; hatuwezi kusema kwako aidha neno baya au zuri. \v 51 Tazama, Rebeka yu mbele yako. Mchukue na uende, ili awe mke wa mtoto wa bwana wako, kama Yahwe alivyosema."
|
|
@ -319,6 +319,9 @@
|
|||
"24-33",
|
||||
"24-36",
|
||||
"24-39",
|
||||
"24-42"
|
||||
"24-42",
|
||||
"24-45",
|
||||
"24-47",
|
||||
"24-49"
|
||||
]
|
||||
}
|
Loading…
Reference in New Issue