Tue Dec 06 2022 04:59:29 GMT-0800 (Pacific Standard Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-12-06 04:59:30 -08:00
parent 430df7f47d
commit 99cd01014d
3 changed files with 4 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 13 13 Kaini akamwambia Yahwe, "Adhabu yangu ni kubwa kuliko uwezo wangu wa kustahimili. \v 14 14 Kwa hakika umenifukuza siku hii ya leo kutoka kwenye ardhi hii, na sitaonekana mbele ya uso wako. Nitakuwa mkimbizi na mtu nisiye na makao katika dunia, na yeyote atakaye niona ataniua." \v 15 15 Yahwe akamwambia, "ikiwa mtu yeyote atamuua Kaini, kisasi kitakuwa juu yake mara saba." Kisha Yahwe akaweka alama juu ya Kaini, ili kwamba kama mtu yeyote akimuona, mtu huyo asimshambulie.
\v 13 Kaini akamwambia Yahwe, "Adhabu yangu ni kubwa kuliko uwezo wangu wa kustahimili. \v 14 Kwa hakika umenifukuza siku hii ya leo kutoka kwenye ardhi hii, na sitaonekana mbele ya uso wako. Nitakuwa mkimbizi na mtu nisiye na makao katika dunia, na yeyote atakaye niona ataniua." \v 15 Yahwe akamwambia, "ikiwa mtu yeyote atamuua Kaini, kisasi kitakuwa juu yake mara saba." Kisha Yahwe akaweka alama juu ya Kaini, ili kwamba kama mtu yeyote akimuona, mtu huyo asimshambulie.

1
04/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
16 Kwa hiyo Kaini akatoka mbele ya uwepo wa Yahwe na akaishi katika nchi ya Nodi, mashariki mwa Edeni. 17 Kaini akamjua mke wake na akapata mimba. Akamzaa Henoko. Akajenga mji na akauita kwa jina la mwanae Henoko.

View File

@ -78,6 +78,7 @@
"04-03",
"04-06",
"04-08",
"04-10"
"04-10",
"04-13"
]
}