From 95c99e5b50bab59266aef4ffbe954739b22f445d Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: tsDesktop Date: Wed, 19 Apr 2023 07:13:50 -0700 Subject: [PATCH] Wed Apr 19 2023 07:13:49 GMT-0700 (Pacific Daylight Time) --- 22/20.txt | 2 +- 22/23.txt | 2 +- 23/01.txt | 2 +- 23/03.txt | 2 +- 23/05.txt | 2 +- 23/07.txt | 2 +- 23/10.txt | 2 +- 23/12.txt | 2 +- 23/14.txt | 2 +- 23/17.txt | 2 +- 23/19.txt | 2 +- 24/01.txt | 4 ++-- 12 files changed, 13 insertions(+), 13 deletions(-) diff --git a/22/20.txt b/22/20.txt index f890cdb..77de424 100644 --- a/22/20.txt +++ b/22/20.txt @@ -1 +1 @@ -\v 20 \v 21 20 Ikawa kwamba baada ya mambo haya ambayo Abraham aliambiwa, "Milka amemzalia pia watoto, ndugu yako Nahori." 21 Hawa walikuwa ni Usi mzaliwa wa kwanza, Busi ndugu yake, Kemueli aliye mzaa Aramu, \v 22 22 Kesedi, Hazo, Pildashi, Yidlafu, na Bethueli. \ No newline at end of file +\v 20 20 Ikawa kwamba baada ya mambo haya ambayo Abraham aliambiwa, "Milka amemzalia pia watoto, ndugu yako Nahori." \v 21 21 Hawa walikuwa ni Usi mzaliwa wa kwanza, Busi ndugu yake, Kemueli aliye mzaa Aramu, \v 22 22 Kesedi, Hazo, Pildashi, Yidlafu, na Bethueli. \ No newline at end of file diff --git a/22/23.txt b/22/23.txt index 221be96..eea0528 100644 --- a/22/23.txt +++ b/22/23.txt @@ -1 +1 @@ -\v 23 \v 24 23 Bethuel akamzaa Rebeka. Hawa walikuwa ni wale watoto wanane ambao Milka alizaa kwa Nahori, ndugu yake na Abraham. 24 Suria wake, ambaye aliitwa Reuma, pia akamzaa Teba, Gahamu, Tahashi, na Maaka. \ No newline at end of file +\v 23 23 Bethuel akamzaa Rebeka. Hawa walikuwa ni wale watoto wanane ambao Milka alizaa kwa Nahori, ndugu yake na Abraham. \v 24 24 Suria wake, ambaye aliitwa Reuma, pia akamzaa Teba, Gahamu, Tahashi, na Maaka. \ No newline at end of file diff --git a/23/01.txt b/23/01.txt index a3d247d..b380800 100644 --- a/23/01.txt +++ b/23/01.txt @@ -1 +1 @@ -\c 23 \v 1 \v 2 1 Sara akaishi miaka mia moja na ishirini na saba. Hii ndiyo ilikuwa ni miaka ya maisha ya Sara. 2 Sara akafa katika Kiriathi Arba, ambayo ni Hebroni, katika nchi ya Kanaani. Abraham akaomboleza na kumlilia Sara. \ No newline at end of file +\c 23 \v 1 1 Sara akaishi miaka mia moja na ishirini na saba. Hii ndiyo ilikuwa ni miaka ya maisha ya Sara. \v 2 2 Sara akafa katika Kiriathi Arba, ambayo ni Hebroni, katika nchi ya Kanaani. Abraham akaomboleza na kumlilia Sara. \ No newline at end of file diff --git a/23/03.txt b/23/03.txt index c9e4551..37e85ff 100644 --- a/23/03.txt +++ b/23/03.txt @@ -1 +1 @@ -\v 3 \v 4 3 Kisha Abraham akainuka na kutoka kwa mkewe aliye kufa, akanena na watoto wa kiume wa Hethi, akisema, 4 "Mimi ni mgeni kati yenu. Tafadhali nipatieni mahali pa kuzikia miongoni mwenu, ili kwamba niweze kuzika wafu wangu." \ No newline at end of file +\v 3 3 Kisha Abraham akainuka na kutoka kwa mkewe aliye kufa, akanena na watoto wa kiume wa Hethi, akisema, \v 4 4 "Mimi ni mgeni kati yenu. Tafadhali nipatieni mahali pa kuzikia miongoni mwenu, ili kwamba niweze kuzika wafu wangu." \ No newline at end of file diff --git a/23/05.txt b/23/05.txt index f4024ae..8f543e0 100644 --- a/23/05.txt +++ b/23/05.txt @@ -1 +1 @@ -\v 5 \v 6 5 Wana wa Hethi wakamjibu Abraham, wakasema, 6 "Tusikilize, bwana wangu. Wewe ni mwana wa Mungu miongoni mwetu. Zika wafu wako katika makaburi yetu utakayochagua. Hakuna miongoni mwetu atakaye kuzuilia kaburi lake, kwa ajili ya kuzikia wafu wako." \ No newline at end of file +\v 5 5 Wana wa Hethi wakamjibu Abraham, wakasema, \v 6 6 "Tusikilize, bwana wangu. Wewe ni mwana wa Mungu miongoni mwetu. Zika wafu wako katika makaburi yetu utakayochagua. Hakuna miongoni mwetu atakaye kuzuilia kaburi lake, kwa ajili ya kuzikia wafu wako." \ No newline at end of file diff --git a/23/07.txt b/23/07.txt index c1dec8d..619974e 100644 --- a/23/07.txt +++ b/23/07.txt @@ -1 +1 @@ -\v 7 \v 8 \v 9 7 Abraham akainuka na kusujudu chini kwa watu wa nchi ile, kwa wana wa Hethi. 8 Akawaambia, akisema, "ikiwa mmekubali mimi kuzika wafu wangu, ndipo nisikilizeni, msihini Efroni mwana wa Sohari kwa ajili yangu. 9 Mwambieni aniuzie pango la Makpela, ambalo analimiliki, ambalo liko mwishoni mwa shamba lake. Kwa bei kamili aniuzie waziwazi mbele ya watu kama miliki ya kuzikia." \ No newline at end of file +\v 7 7 Abraham akainuka na kusujudu chini kwa watu wa nchi ile, kwa wana wa Hethi. \v 8 8 Akawaambia, akisema, "ikiwa mmekubali mimi kuzika wafu wangu, ndipo nisikilizeni, msihini Efroni mwana wa Sohari kwa ajili yangu. \v 9 9 Mwambieni aniuzie pango la Makpela, ambalo analimiliki, ambalo liko mwishoni mwa shamba lake. Kwa bei kamili aniuzie waziwazi mbele ya watu kama miliki ya kuzikia." \ No newline at end of file diff --git a/23/10.txt b/23/10.txt index 8235cbb..10d4649 100644 --- a/23/10.txt +++ b/23/10.txt @@ -1 +1 @@ -\v 10 \v 11 10 Efroni alikuwa ameketi miongoni mwa wana wa Hethi, hivyo Efroni Mhiti akamjibu Abraham alipowasikia wana wa Hethi, wote ambao walikuwa wamekuja langoni mwa mji wake, akasema, 11 "Hapana, bwana wangu, nisikilize. Ninakupatia shamba na pango ambalo limo ndani yake. Ninakupatia mbele ya wana wa watu wangu. Ninakupatia uzike wafu wako." \ No newline at end of file +\v 10 10 Efroni alikuwa ameketi miongoni mwa wana wa Hethi, hivyo Efroni Mhiti akamjibu Abraham alipowasikia wana wa Hethi, wote ambao walikuwa wamekuja langoni mwa mji wake, akasema, \v 11 11 "Hapana, bwana wangu, nisikilize. Ninakupatia shamba na pango ambalo limo ndani yake. Ninakupatia mbele ya wana wa watu wangu. Ninakupatia uzike wafu wako." \ No newline at end of file diff --git a/23/12.txt b/23/12.txt index af7c7e7..f3e9b66 100644 --- a/23/12.txt +++ b/23/12.txt @@ -1 +1 @@ -\v 12 \v 13 12 Kisha Abraham akasujudu chini mbele ya watu wa nchi ile. 13 Akamwambia Efroni watu wa nchi ile wakisikiliza, akasema, ikiwa uko radhi, tafadhari nisikilize. Nitalipia shamba. Chukua fedha kwangu, na nitazika wafu wangu pale." \ No newline at end of file +\v 12 12 Kisha Abraham akasujudu chini mbele ya watu wa nchi ile. \v 13 13 Akamwambia Efroni watu wa nchi ile wakisikiliza, akasema, ikiwa uko radhi, tafadhari nisikilize. Nitalipia shamba. Chukua fedha kwangu, na nitazika wafu wangu pale." \ No newline at end of file diff --git a/23/14.txt b/23/14.txt index f36d6aa..e531909 100644 --- a/23/14.txt +++ b/23/14.txt @@ -1 +1 @@ -\v 14 \v 15 \v 16 14 Efroni akamjibu Abraham, akisema, 15 "Tafadhali bwana wangu, nisikilize. Kipande cha ardhi kina thamani ya shekeli mia nne za fedha, na hiyo ni kitu gani kati yangu mimi na wewe? wazike wafu wako." 16 Abraham akamsikiliza Efroni na akampimia Efroni kiwango cha fedha alizosema mbele ya wana wa Hethi wakisikiliza, shekeli mia nne za fedha, kwa mujibu wa viwango vya vipimo vya kibiashara. \ No newline at end of file +\v 14 14 Efroni akamjibu Abraham, akisema, \v 15 15 "Tafadhali bwana wangu, nisikilize. Kipande cha ardhi kina thamani ya shekeli mia nne za fedha, na hiyo ni kitu gani kati yangu mimi na wewe? wazike wafu wako." \v 16 16 Abraham akamsikiliza Efroni na akampimia Efroni kiwango cha fedha alizosema mbele ya wana wa Hethi wakisikiliza, shekeli mia nne za fedha, kwa mujibu wa viwango vya vipimo vya kibiashara. \ No newline at end of file diff --git a/23/17.txt b/23/17.txt index 0a59278..4cf83cd 100644 --- a/23/17.txt +++ b/23/17.txt @@ -1 +1 @@ -\v 17 \v 18 17 Kwa hiyo shamba la Efroni, lililokuwa katika Makpela, mbele ya Mamre, shamba pamoja na pango lililokuwamo ndani yake na miti yote iliyokuwamo ndani ya shamba na iliyokuwa mpakani ikatolewa 18 kwa Abraham kwa njia ya manunuzi mbele ya wana wa Hethi, na mbele ya wote waliokuja malangoni pa mji wake. \ No newline at end of file +\v 17 17 Kwa hiyo shamba la Efroni, lililokuwa katika Makpela, mbele ya Mamre, shamba pamoja na pango lililokuwamo ndani yake na miti yote iliyokuwamo ndani ya shamba na iliyokuwa mpakani ikatolewa \v 18 18 kwa Abraham kwa njia ya manunuzi mbele ya wana wa Hethi, na mbele ya wote waliokuja malangoni pa mji wake. \ No newline at end of file diff --git a/23/19.txt b/23/19.txt index 48078b7..2a61495 100644 --- a/23/19.txt +++ b/23/19.txt @@ -1 +1 @@ -\v 19 \v 20 19 Baada ya haya, Abraham akamzika Sara mkewe katika pango la shamba la Makpela, lililo mbele ya Mamre, ambayo ni Hebroni, katika nchi ya Kanaani. 20 Kwa hiyo shamba pamoja na pango likatolewa na wana wa Hethi kwa Abraham kama milki na eneo la kuzikia. \ No newline at end of file +\v 19 19 Baada ya haya, Abraham akamzika Sara mkewe katika pango la shamba la Makpela, lililo mbele ya Mamre, ambayo ni Hebroni, katika nchi ya Kanaani. \v 20 20 Kwa hiyo shamba pamoja na pango likatolewa na wana wa Hethi kwa Abraham kama milki na eneo la kuzikia. \ No newline at end of file diff --git a/24/01.txt b/24/01.txt index 37b5358..ec9cabe 100644 --- a/24/01.txt +++ b/24/01.txt @@ -1,2 +1,2 @@ -\c 24 \v 1 \v 2 \v 3 \v 4 1 Basi Abraham alikuwa mzee sana na Yahwe akawa amembariki katika mambo yote. 2 -Abraham akamwambia mtumwa wake, ambaye alikuwa mkubwa kuliko wote wa nyumbani mwake na mkuu wa vyote alivyo kuwa navyo."Weka mkono wako chini ya paja langu 3 na nitakufanya uape kwa Yahwe, Mungu wa Mbingu na nchi, kwamba hutampatia mwanangu mke kutoka kwa mabinti wa Wakanaani, miongoni mwao wale nikaao kati yao. 4 Lakini utakwenda kwenye nchi yangu, na kwa ndugu zangu, na kumtafutia mwanangu Isaka mke." \ No newline at end of file +\c 24 \v 1 \v 2 \v 3 1 Basi Abraham alikuwa mzee sana na Yahwe akawa amembariki katika mambo yote. 2 +Abraham akamwambia mtumwa wake, ambaye alikuwa mkubwa kuliko wote wa nyumbani mwake na mkuu wa vyote alivyo kuwa navyo."Weka mkono wako chini ya paja langu 3 na nitakufanya uape kwa Yahwe, Mungu wa Mbingu na nchi, kwamba hutampatia mwanangu mke kutoka kwa mabinti wa Wakanaani, miongoni mwao wale nikaao kati yao. \v 4 4 Lakini utakwenda kwenye nchi yangu, na kwa ndugu zangu, na kumtafutia mwanangu Isaka mke." \ No newline at end of file