Wed Apr 19 2023 06:47:47 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)
This commit is contained in:
parent
22ef670df8
commit
931777f70d
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 14 Abraham akaamka asubuhi na mapema, akachukua mkate na kiriba cha maji, akampatia Hajiri, akiweka juu ya bega lake. Akamtoa kijana akampatia Hajiri na akawaondoa. Hajiri akaondoka akapotea katika jangwa la Beerisheba. \v 15 Maji yalipokwisha kwenye kiriba akamtelekeza kijana katika moja ya vichaka. \v 16 Kisha akaondoka, na akakaa umbali kidogo na yule kijana, umbali kama wa kutupa mshale, kwa vile alisema, "Na nisitazame kifo cha mtoto." Alipokuwa amekaa kumkabili, akapaza sauti yake akalia.
|
||||
\v 14 Abraham akaamka asubuhi na mapema, akachukua mkate na kiriba cha maji, akampatia Hajiri, akaweka juu ya bega lake. Akamtoa kijana akampatia Hajiri na akawaondoa. Hajiri akaondoka akapotea katika jangwa la Beerisheba. \v 15 Maji yalipokwisha kwenye kiriba akamtelekeza kijana katika moja ya vichaka. \v 16 Kisha akaondoka, na akakaa umbali kidogo na yule kijana, umbali kama wa kutupa mshale, kwa vile alisema, "Na nisitazame kifo cha mtoto." Alipokuwa amekaa kumkabili, akapaza sauti yake akalia.
|
Loading…
Reference in New Issue