diff --git a/05/03.txt b/05/03.txt new file mode 100644 index 0000000..e4daebd --- /dev/null +++ b/05/03.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 3 Wakati Adamu alipokuwa ameishi miaka 130, akamzaa mwana katika sura yake mwenyewe, kwa mfano wake, na akamuita jina lake Sethi. \v 4 Baada ya Adamu kumzaa Sethi, aliishi miaka mia nane. Akawazaa wana wengi waume na wake. \v 5 Adamu akaishi miaka 930 kisha akafariki. \ No newline at end of file