Tue Apr 18 2023 13:02:18 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)
This commit is contained in:
parent
b68840bd9d
commit
715c5416f3
|
@ -0,0 +1 @@
|
||||||
|
\c 27 \v 1 \v 2 1 Isaka alipozeeka na macho yake kuwa mazito kiasi cha kutokuona, alimwita Esau, mwanawe mkubwa, na akamwambia, "Mwanangu. Yeye akasema, "Mimi hapa." 2 Akamwambia, "Tazama, mimi nimezeeka. Sijui siku ya kufa kwangu.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
||||||
|
\v 3 \v 4 3 Kwa hiyo chukua silaha zako, podo lako na upinde wako, na uende uwandani ukaniwindie mnyama. 4 Uniandalie chakula kitamu, aina ile niipendayo, uniletee ili nikile na kukubariki kabla sijafa.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
||||||
|
\v 5 \v 6 \v 7 5 Basi Rebeka akasikia Isaka alipoongea na Esau mwanawe. Esau akaenda uwandani kuwinda mawindo na kuja nayo. 6 Rebeka akaongea na Yakobo mwanawe na kumwambia, "Tazama, nimemsikia baba yako akiongea na Esau ndugu yako. Akasema, 7 'Niletee mnyama na unitengenezee chakula kitamu, ili nikile na kukubariki mbele za Yahwe kabla ya kufa kwangu.'
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
||||||
|
\v 8 \v 9 \v 10 8 Kwa hiyo sasa, mwanangu, usikilize sauti yangu kama ninavyokuagiza, 9 Nenda kundini, na uniletee wanambuzi wawili; nami nitaandaa chakula kitamu kutokana nao kwa ajili ya baba yako, kwa namna aipendayo. 10 Utakipeleka kwa baba yako, ili kwamba akile, na kukubariki kabla hajafa."
|
Loading…
Reference in New Issue