Tue Apr 18 2023 11:08:13 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-18 11:08:14 -07:00
parent 6a004149f2
commit 70733111ef
4 changed files with 5 additions and 0 deletions

1
14/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 \v 22 \v 23 \v 24 21 Mfalme wa Sodama akamwambia Abram, "Nipatie watu, na ujichukulie wewe mwenyewe mali." 22 Abram akamwambia mfalme wa Sodoma, "Nimeinua juu mkono wangu kwa Yahwe, Mungu aliye juu sana, muumbaji wa mbingu na nchi, 23 kwamba sitachukua uzi wala gidamu ya kiatu, au kitu chochote ambacho ni chako, 'ili kwamba usiseme, nimemfanya Abram kuwa tajiri.' 24 Sitachukua chochote isipokuwa kile ambacho vijana wamekula na sehemu za watu waliokwenda nami. Aneri, Eskoli, na Mamre na wachukue sehemu zao."

1
15/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 15 \v 1 \v 2 \v 3 1 Baada ya mabo haya. neno la Yahwe likamjia Abram katika maono, likisema, "Usiogope, Abram! mimi ni ngao yako na thawabu yako kubwa sana." 2 Abram akasema, "Bwana Yahwe, utanipatia nini, kwa kuwa naenda bila mtoto, na mrithi wa nyumba yangu ni Eliezeri wa Dameski?" 3 Abram akasema, "Kwakuwa hujanipatia uzao, tazama, mwangalizi wa nyumba yangu ndiye mrithi wangu."

2
15/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1,2 @@
\v 4 \v 5 4 Kisha, tazama, neno la Yahwe likaja kwake, kusema, "Mtu huyu hatakuwa mrithi wako; isipokuwa atakaye toka katika mwili wako ndiye atakuwa mrithi wako."
5 Kisha akamtoa nje, na akasema, Tazama mbinguni, na uzihesabu nyota, ikiwa unaweza kuzihesabu." Kisha akamwambia, hivyo ndivyo uzao wako utakavyokuwa.

1
15/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 15