Tue Apr 18 2023 19:49:30 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)
This commit is contained in:
parent
92d1bca804
commit
69734a0d8d
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 18 \v 19 \v 20 18 Wakamwona kutokea mbali, na kabla hajawakaribia, wakapanga njama ya kumwua. 19 Ndugu zake wakaambiana wao kwa wao, "Tazama, mwotaji anakaribia. 20 Njoni sasa, na tumwue na kumtupa katika mojawapo ya mashimo haya. Nasi tutasema, 'Mnyama mkali amemrarua.' Nasi tutaona ndoto zake zitakuwaje."
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 21 \v 22 21 Rubeni alilisikia hilo na kumwokoa kutoka katika mikono yao. Alisema, "Tusiuondoe uhai wake." 22 Rubeni aliwambia, "Msimwage damu. Mtupeni katika shimo hili lililopo nyikani, lakini msiweke mikono yenu juu yake" - ili kwamba aweze kumwokoa katika mikono yao na kumrudisha kwa baba yake.
|
|
@ -0,0 +1,2 @@
|
|||
\v 23 \v 24 23 Ikawa Yusufu alipowafikia ndugu zake, walimvua vazi lake zuri. 24 Wakamchukua na kumtupa shimoni.
|
||||
Shimo lilikuwa tupu bila maji.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 25 \v 26 25 Wakakaa chini kula mkate. Walipoinua macho yao na kuangalia, na, tazama, msafara wa Waishmaeli ulikuwa ukija kutoka Gileadi, pamoja na ngamia wao waliochukua viungo, malhamu na manemane. Walikuwa wakisafiri kuvichukua kuelekea Misri. 26 Yuda akawambia ndugu zake, "Ni faida gani kama tutamwua ndugu yetu na kufunika damu yake?
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 27 \v 28 27 Haya, na tumwuze kwa Waishmaeli na wala tusiweke mikono yetu juu yake. Kwani yeye ni ndugu yetu, nyama yetu." Ndugu zake wakamsikiliza. 28 Wafanyabiashara wa Kimidiani wakapita. Ndugu zake wakamwinua na kumtoa Yusufu shimoni. Wakamwuza Yusufu kwa Waishmaeli kwa vipande ishirini vya fedha. Waishmaeli wakamchukua Yusufu mpaka Misri.
|
|
@ -0,0 +1,3 @@
|
|||
\v 29 \v 30 29 Rubeni akarudi kwenye shimo, na, tazama, Yusufu hakuwemo shimoni.
|
||||
Akararua mavazi yake. 30 Akarudi kwa ndugu zake na kusema, "Kijana yuko wapi? Na mimi, je
|
||||
niende wapi?"
|
|
@ -0,0 +1,2 @@
|
|||
\v 31 \v 32 \v 33 31 Wakachinja mbuzi na kisha wakalichukua vazi la Yusufu na kulichovya katika damu. 32 Kisha wakalipeleka kwa baba yao na kusema, "Tumeiona hii. Tafadhari angalia kama ni vazi la mwanao au hapana." 33 "Yakobo akaitambua na kusema, "Ni nguo ya mwanangu.
|
||||
Mnyama wa mwitu amemrarua. Bila shaka Yusufu ameraruliwa katika vipande.
|
Loading…
Reference in New Issue