Tue Apr 18 2023 11:38:15 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)
This commit is contained in:
parent
a3c6b26e52
commit
6732e65f48
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 10 \v 11 10 Lakini wale wanaume wakamkamata Lutu na kumweka ndani na wakafunga mlango. 11 Kisha wale wageni wa Lutu wakawapiga kwa upofu wale wanaume waliokuwa nje ya nyumba, vijana na wazee kwa pamoja, kiasi kwamba wakachoka wakati wakiutafuta mlango.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 12 \v 13 12 Basi wale watu wakamwambia Lutu, Je una mtu mwingine yeyote hapa? wakwe zako, wanao na mabinti zako, na yeyote mwingine katika huu mji, ukawatoe hapa. 13 Kwa kuwa tunakaribia kuiangamiza sehemu hii, kwa sababu mashitaka dhidi yake mbele ya Yahwe yamezidi kiasi kwamba ametutuma kuuangamiza."
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 14 \v 15 14 Lutu akatoka na akazungumza na wakwe zake, wanaume ambao walikuwa wamewaposa binti zake, akawambia, "Ondokeni upesi mahali hapa, kwa kuwa Yahwe anakaribia kuuangamiza mji." Lakini kwa wakwe zake alionekana kuwa anawatania. 15 Alfajiri, malaika wakamsihi Lutu, wakisema, ondoka, mtwae mkeo na binti zako wawili ambao wako hapa, ili kwamba usipotelee katika adhabu ya mji huu."
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 16 \v 17 16 Lakini akakawia-kawia. Kwa hiyo watu wale wakamshika mkono wake, na mkono wa mkewe, na mikono ya binti zake wawili, kwa sababu Yahwe alimhurumia. Wakawatoa nje, na kuwaweka nje ya mji. 17 Wakisha kuwatoa nje mmoja wa wale watu akasema, "jiponye nafsi yako! usitazame nyuma, au usikae mahali popote kwenye hili bonde. Toroka uende milimani ili kwamba usije ukatoweshwa mbali."
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 18 \v 19 \v 20 18 Lutu akawambia, "Hapana, tafadhali bwana zangu! 19 Mtumishi wenu amepata kibali machoni pako, na umenionesha wema ulio mkuu kwa kuokoa maisha yangu, lakini sitaweza kutorokea milimani, kwa sababu mabaya yataniwahi na nitakufa. 20 Tazama, ule mji pale uko karibu nijisalimishe pale, na ni mdogo. Tafadhari niacheni nikimbilie pale ( Je Siyo mdogo ule?), na maisha yangu yataokolewa."
|
Loading…
Reference in New Issue