Tue Apr 18 2023 11:42:15 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)
This commit is contained in:
parent
a485785941
commit
5909bc672e
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 34 \v 35 34 Siku iliyo fuata yule wa kwanza akamwambia mdogowake, "Sikiliza, usiku wa jana nililala na baba yangu. Na tumnyweshe mvinyo usiku wa leo pia, na uingie ukalale naye. Ili kwamba tuendeleze uzao wa baba yetu." 35 Kwa hiyo wakamnywesha baba yao mvinyo usiku ule pia, na yule mdogo akaenda na akalala naye. Baba yake hakujua ni wakati gani alilala, wala wakati alipoamka.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 36 \v 37 \v 38 36 Basi hao binti wote wawili wa Lutu wakapata mimba kwa baba yao. 37 Wa kwanza akazaa mwana wa kiume, na akamwita jina lake Moabu. Akawa ndiye baba wa wamoabu hata leo. 38 Nayule mdogo naye akazaa mwana wa kiume, na akamwita Benami. Huyu ndiye baba wa watu wa Waamoni hata leo.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Sura 20
|
Loading…
Reference in New Issue