Wed Apr 19 2023 00:09:37 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-19 00:09:37 -07:00
parent 3f99d6e9a3
commit 57d83d5daa
3 changed files with 4 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\c 7 \v 1 Yahwe akamwambia Nuhu, "Njoo, wewe na nyumba yako wote, katika safina, kwa kuwa nimeona kuwa wewe ni mwenye haki mbele yangu katika kizazi hiki. \v 2 Kwa kila mnyama aliye safi utakuja nao saba wa kiume na saba wa kike. Na kwa wanyama wasio safi, lete wawili wawili, wakiume na wa kike. \v 3 3 Pia na kwa ndege wa angani, lete saba wa kiume na saba wa kike, ili kuhifadhi kizazi chao juu ya uso wa nchi yote.
\c 7 \v 1 Yahwe akamwambia Nuhu, "Njoo, wewe na nyumba yako wote, katika safina, kwa kuwa nimeona kuwa wewe ni mwenye haki mbele yangu katika kizazi hiki. \v 2 Kwa kila mnyama aliye safi utakuja nao saba wa kiume na saba wa kike. Na kwa wanyama wasio safi, walete wawili wawili, wa kiume na wa kike. \v 3 Pia na kwa ndege wa angani, walete saba wa kiume na saba wa kike, ili kuhifadhi kizazi chao juu ya uso wa nchi yote.

View File

@ -1 +1 @@
\v 4 4 Kwa kuwa ndani ya siku saba nitasababisha mvua kunyesha juu ya nchi muda wa siku arobaini mchana na usiku. Nitaharibu kila kiumbe hai nilichokiumba juu ya uso wa ardhi." \v 5 5 Nuhu alifanya yote ambayo Yahwe alimuagiza.
\v 4 Kwa kuwa ndani ya siku saba nitasababisha mvua kunyesha juu ya nchi muda wa siku arobaini mchana na usiku. Nitaharibu kila kiumbe hai nilichokiumba juu ya uso wa ardhi." \v 5 5 Nuhu alifanya yote ambayo Yahwe alimuagiza.

View File

@ -109,6 +109,7 @@
"06-16",
"06-18",
"06-20",
"07-title"
"07-title",
"07-01"
]
}