Tue Apr 18 2023 13:30:20 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)
This commit is contained in:
parent
a2108525be
commit
4c283559b9
|
@ -0,0 +1 @@
|
||||||
|
\v 23 \v 24 \v 25 23 Wakati wa jioni, Labani akamchukua Lea binti yake mkubwa na kumleta kwa Yakobo, aliyelala naye. 24 Labani akampa mtumishi wake wakike Zilpa kuwa mjakazi wa Lea. 25 Ilipofika asubuhi, tazama, kumbe ni Lea! Yakobo akamwambia Labani, "Ni nini hiki ulichonifanyia? Je sikukutumikia kwa ajili ya Raheli? Kwa nini basi umenihadaa?
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
||||||
|
\v 26 \v 27 26 Labani akamwambia, "Siyo utamaduni wetu kumtoa bindi mdogo kabla ya mzaliwa wa kwanza. 27 Timiza juma la bibi arusi, na tutakupa yule mwingine pia kwa mbadala wa kunitumikia miaka mingine saba."
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
||||||
|
\v 28 \v 29 \v 30 28 Yakobo akafanya hivyo, na akatimiza juma la Lea. Kisha Labani akampa Raheli binti yake kuwa mke wake. 29 Lakini pia Labani akampa Raheli binti yake Bilha, kuwa mjakazi wake. 30 Hivyo Yakobo akalala na Raheli, pia, lakini akampenda Raheli zaidi ya Lea. Hivyo Yakobo akamtumikia Labani kwa miaka saba mingine.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
||||||
|
\v 31 \v 32 31 Yahwe akaona kwamba Lea hakupendwa, hivyo akalifungua tumbo lake, lakini Raheli hakuwa na mtoto. 32 Lea akashika mimba na kuzaa mwana, naye akamwita Rubeni. Kwani alisema, "Kwa sababu Yahwe ameliangalia teso langu; bila shaka mme wangu sasa atanipenda."
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
||||||
|
\v 33 \v 34 33 Kisha akashika mimba tena na kuzaa mwana. Akasema, "Kwa sababu Yahwe amesikia kwamba sipendwi, kwa hiyo amenipa mwana mwingine," na akamwita Simoni. 34 Kisha akashika mimba tena na kuzaa mwana. Akasema, "Wakati huu mme wangu ataungana nami, kwa kuwa nimemzalia wana watatu." Kwa hiyo akaitwa Lawi.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
||||||
|
\v 35 35 Akashika mimba tena na kuzaa mwana. Akasema, "Wakati huu nitamsifu Yahwe." Kwa hiyo akamwita jina lake Yuda; kisha akaacha kuzaa watoto.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
||||||
|
Sura 30
|
Loading…
Reference in New Issue