Tue Apr 18 2023 19:13:30 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-18 19:13:31 -07:00
parent 54ec990d07
commit 445289114c
4 changed files with 4 additions and 0 deletions

1
31/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 \v 18 17 Kisha Yakobo akainuka na kuwapandisha wanawe na wakeze kwenye ngamia. 18 Akawaongoza mifugo wake wote mbele yake, pamoja na mali zake zote, wakiwemo wanyama aliowapata huko Padan- ramu. Kisha akaenda kuelekea kwa Isaka baba yake katika nchi ya Kanaani.

1
31/19.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 19 \v 20 \v 21 19 Labani alipokuwa amekwenda kuwakata manyoya kondoo wake, Raheli akaiba miungu ya nyumba ya baba yake. 20 Yakobo pia akamdanganya Labani Mwarami, kwa kutomtaarifu kwamba anaondoka. 21 Hivyo akaondoka na vyote alivyokuwa navyo na kwa haraka akavuka mto, na akaenda kuelekea nchi ya vilima ya Gileadi.

1
31/22.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 22 \v 23 22 Siku ya tatu Labani akaambiwa kwamba Yakobo amekimbia. 23 Hivyo akawachukua ndugu zake pamoja naye na kumfuatia kwa safari ya siku saba. Akampata katika nchi ya vilima ya Gileadi.

1
31/24.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 24 \v 25 24 Basi Mungu akaja kwa Labani Mwarami katika ndoto usiku na kumwambia, "Ujhihadhari kumwambia Yakobo jambo lolote liwe jema au baya." 25 Labani akampata Yakobo. Basi Yakobo alikuwa amepiga hema yake katika nchi ya vilima. Labani pia akapiga kambi pamoja na ndugu zake katika nchi ya kilima ya Gileadi.