Tue Apr 18 2023 20:33:32 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)
This commit is contained in:
parent
23554c3f50
commit
44194d6dfa
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 16 \v 17 \v 18 16 Wana wa Gadi walikuwa sefoni, Hagi, Shuni, Esboni, Eri, Arodi, na Areli. 17 Wana wa Asheri walikuwa Imna, Ishva, Ishvi, na Beria; na Sera alikuwa dada yao. Wana wa Beria walikuwa Heberi na Malkieli. 18 Hawa walikuwa wana wa Zilpa, ambaye Labani alikuwa amempa Lea binti yake. Wana aliomzalia Yakobo wote walikuwa kumi na sita.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 19 \v 20 \v 21 \v 22 19 Wana wa Raheli mkewe Yakobo walikuwa Yusufu na Benjamini. 20 Huko Misri Manase na Efraimu walizaliwa kwa Yusufu na Asenathi, binti Potifera kuhani wa Oni. 21 Wana wa Benjamini walikuwa Bela, Bekeri, Ashbeli, Gera, Naamani, Ehi, Roshi, Mupimu, Hupimu, na Ardi. 22 Hawa walikuwa wana wa Raheli waliozaliwa kwa Yakobo - jumla yao kumi na wanne.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 23 \v 24 \v 25 23 Mwana wa Dani alikuwa Hushimu. 24 Wana wa Naftali walikuwa Yaseeli, Guni, Yezeri, na Shilem. 25 Hawa walikuwa wana Bilha aliomzalia Yakobo, ambaye Labani alimpa Raheli binti yake - wote walikuwa saba.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 26 \v 27 26 Wote waliokwenda na Yakobo, waliokuwa uzao wake, bila kuhesabu wake wa wana wa Yakobo walikuwa sitini na sita. 27 Pamoja na wana wawili wa Yusufu waliozaliwa kwake huko Misri, watu wa familia yake waliokwenda Misri walikuwa sabini jumla yao.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 28 \v 29 \v 30 28 Yakobo akamtuma Yuda kuwatangulia mbele kwa Yusufu kuonyesha njia mbele yake kwenda Gosheni, nao wakaja katika eneo la Gosheni. 29 Yusufu akaandaa kibandawazi chake na akaenda kumlaki baba yake huko Gosheni. Akamwona, akaikumbatia shingo yake, na akalia shingoni mwake kwa kitambo. 30 Israeli akamwambia Yusufu, "Basi na nife sasa, kwa kuwa nimeuona uso wako, kwamba bado uko hai."
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 31 \v 32 31 Yusufu akawambia ndugu zake na nyumba ya baba yake, "Nitakwenda na kumwambia Farao, kusema, 'Ndugu zangu na nyumba ya baba yangu, waliokuwa katika nchi ya Kanaani, wamenijia. 32 Watu hawa ni wafugaji, kwani wamekuwa watunza wanyama. Wamekuja na makundi yao ya kondoo, na mbuzi, na vyote walivyonavyo.'
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 33 \v 34 33 Itakuwa, Farao atakapowaita na kuwauliza, 'Kazi yenu ni ipi?' 34 mwambieni, 'Watumishi wako wamekuwa watunza wanyama tangu ujana wetu mpaka sasa, sisi, na baba zetu.' Fanyeni hivyo ili mweze kuishi katika nchi ya Gosheni, kwani kila mfugaji ni chukizo kwa Wamisri."
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Su
|
Loading…
Reference in New Issue