Wed Apr 19 2023 08:33:52 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-19 08:33:52 -07:00
parent c7333f5ac8
commit 3c05c3c482
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 42 Hivyo nimefika leo kisimani, na nikasema, 'O Yahwe, Mungu wa bwana wangu Abraham, tafadhali, ikiwa kweli umekusudia kuifanya safari yangu kuwa yenye kufanikiwa - \v 43 tazama niko hapa nimesimama karibu na kisima cha maji - na iwe kwamba binti ajaye kuchota maji, atakayeniambia, 'Tafadhali unipatie maji kidogo kutoka kwenye mtungi wako ninywe,' mwanamke atakaye niambia, \v 44 "Kunywa, na nitakuchotea pia maji kwa ajili ya ngamia wako" - na awe ndiye ambaye wewe Yahwe, umemchagulia mtoto wa bwana wangu."
\v 42 Hivyo nimefika leo kisimani, na nikasema, 'O Yahwe, Mungu wa bwana wangu Abraham, tafadhali, ikiwa kweli umekusudia kuifanya safari yangu kuwa yenye kufanikiwa - \v 43 tazama niko hapa nimesimama karibu na kisima cha maji - na iwe kwamba binti ajaye kuchota maji, nitakayemwambia, 'Tafadhali unipatie maji kidogo kutoka kwenye mtungi wako ninywe,' mwanamke atakaye niambia, \v 44 'Kunywa, na nitakuchotea pia maji kwa ajili ya ngamia wako' - na awe ndiye ambaye wewe Yahwe, umemchagulia mtoto wa bwana wangu."