Tue Apr 18 2023 10:00:12 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-18 10:00:13 -07:00
parent b0b8253d76
commit 367887c74d
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 20 \v 21 \v 22 20
\v 20 \v 21 \v 22 20 Katika ndege kwa jinsi yake, na wanyama wakubwa kwa jinsi yake, kila kitambaacho ardhini kwa jinsi yake, viwili viwili vya kila aina vitakuja kwako ili viwe salama. 21 Kusanya kila aina ya chakula kinacholiwa kwa ajili yako na ukitunze, ili kwamba viwe chakula chako na chao." 22 Kwa hiyo Nuhu akafanya hivyo kulingana na yote ambayo Mungu alimuagiza, ndivyo alifanya.