Tue Apr 18 2023 19:41:30 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)
This commit is contained in:
parent
129c6979b3
commit
345dd8c151
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 23 \v 24 23 Hawa walikuwa wana wa Shobali: Alvani, Manahathi, Ebali, Shefo, na Onamu. 24 Hawa walikuwa wana wa Zibeoni: Aia na Ana. Huyu ndiye Ana aliyeona chemichemi za moto nyikani, alipokuwa akichunga punda wa Zibeoni babaye.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 25 \v 26 \v 27 \v 28 25 Hawa walikuwa watoto wa Ana: Dishoni na Oholibama, binti Ana. 26 Hawa walikuwa wana wa Dishoni: Hemdani, Eshbani, Ithrani, na Kerani. 27 Hawa walikuwa wana wa Ezeri: Bilhani, Zaavani, na Akani. 28 Hawa walikuwa wana wa Dishani: Uzi na Arani.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 29 \v 30 29 Hizi zilikuwa koo za Wahori: Lotani, Shobali, Zibeoni, na Ana, 30 Dishoni, Ezeri, Dishani: hizi zilikuwa koo za Wahori, kulingana na ukoo ulivyoorodheshwa katika nchi ya Seiri.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 31 \v 32 \v 33 31 Hawa walikuwa wafalme waliomiliki katika nchi ya Edomu kabla ya mfalme yeyote kumilika juu ya Waisraeli: 32 Bela mwana wa Beori, alitawala huko Edomu, na jina la mji wake lilikuwa Dinhaba. 33 Bela alipofariki, kisha Yobabu mwana wa Zera kutoka Bozra, akatawala mahali pake.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
34 Yobabu alipofariki, Hushamu aliyekuwa wa nchi ya Watemani, akatawala mahali pake. 35 Hushamu alipofariki, Hadadi mwana wa Bedadi aliyewashinda Wamidiani katika nchi ya Moabu, akatawala mahali pake. Jina la mji wake lilikuwa Avithi. 36 Hadadi alipofariki, kisha Samla wa Masreka akatawala mahali pake.
|
Loading…
Reference in New Issue