Wed Apr 19 2023 04:39:44 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)
This commit is contained in:
parent
1fc4fa2086
commit
326972fb0e
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 11 Abraham na Sara walikuwa wazee, umri wao ulikuwa umeendelea sana, na Sara alikuwa amepita umri ambao mwanamke anaweza kuzaa watoto. \v 12 Kwa hiyo Sara akajicheka mwenyewe, akijisemesha mwenyewe, "baada ya kuwa nimechakaa na bwana wangu ni mzee, je ni tapata furaha hii?"
|
||||
\v 11 Abraham na Sara walikuwa wazee, umri wao ulikuwa umeendelea sana, na Sara alikuwa amepita umri ambao mwanamke anaweza kuzaa watoto. \v 12 Kwa hiyo Sara akajicheka mwenyewe, akijisemesha mwenyewe, "Baada ya kuwa nimechakaa na bwana wangu ni mzee, je nitapata furaha hii?"
|
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 13 \v 14 \v 15 13 Yahwe akamwambia Abraham, "Kwa nini Sara amecheka na kusema, Je ni kweli nitazaa mtoto, nikiwa mzee'? 14 Je kuna jambo lolote gumu sana kwa Yahwe? Itakuwa katika wakati nilioweka mimi majira ya machipuko, nitarejea kwako. Majira haya mwakani Sara atakuwa na mtoto wa kiume." 15 Kisha Sara akakataa na kusema, "sikucheka," kwa kuwa aliogopa. Yahwe akasema, "hapana ulicheka."
|
||||
\v 13 Yahwe akamwambia Abraham, "Kwa nini Sara amecheka na kusema, Je ni kweli nitazaa mtoto, nikiwa mzee'? \v 14 Je kuna jambo lolote gumu sana kwa Yahwe? Itakuwa katika wakati nilioweka mimi majira ya machipuko, nitarejea kwako. Majira haya mwakani Sara atakuwa na mtoto wa kiume." \v 15 Kisha Sara akakataa na kusema, "sikucheka," kwa kuwa aliogopa. Yahwe akasema, "hapana ulicheka."
|
|
@ -232,6 +232,7 @@
|
|||
"18-01",
|
||||
"18-03",
|
||||
"18-06",
|
||||
"18-09"
|
||||
"18-09",
|
||||
"18-11"
|
||||
]
|
||||
}
|
Loading…
Reference in New Issue