Wed Apr 19 2023 12:18:16 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-19 12:18:18 -07:00
parent effad65a79
commit 2dfb7e0fed
7 changed files with 7 additions and 8 deletions

View File

@ -1,2 +1 @@
\v 15 Kisha Labani akamwambia Yakobo, "Je unitumikie bure kwa kuwa wewe ni ndugu yangu? Niambie, ujira wako utakuwaje? \v 16 Basi Labani alikuwa na binti wawili. Jina la mkubwa lilikuwa ni Lea, na jina la mdogo lilikuwa Raheli. \v 17 Macho ya Lea yalikuwa dhaifu, lakini Raheli alikuwa mzuri wa umbo na mwonekano.
\v 18 Yakobo alimpenda Raheli, hivyo akasema, "Nitakutumikia miaka saba kwa ajili ya Raheli, binti yako mdogo."
\v 15 Kisha Labani akamwambia Yakobo, "Je unitumikie bure kwa kuwa wewe ni ndugu yangu? Niambie, ujira wako utakuwaje? \v 16 Basi Labani alikuwa na binti wawili. Jina la mkubwa lilikuwa ni Lea, na jina la mdogo lilikuwa Raheli. \v 17 Macho ya Lea yalikuwa dhaifu, lakini Raheli alikuwa mzuri wa umbo na mwonekano. \v 18 Yakobo alimpenda Raheli, hivyo akasema, "Nitakutumikia miaka saba kwa ajili ya Raheli, binti yako mdogo."

View File

@ -1 +1 @@
\v 19 19 Labani akasema, Itakuwa vema kukupa wewe, kuliko kumpa mtu mwingine. Kaa nami." \v 20 20 Hivyo Yakobo akamtumikia kwa miaka saba kwa ajili ya Raheli; nayo ilionekana kwake kama siku chache tu, kwa ajili ya upendo aliokuwa nao kwake.
\v 19 Labani akasema, Itakuwa vema kukupa wewe, kuliko kumpa mtu mwingine. Kaa nami." \v 20 Hivyo Yakobo akamtumikia kwa miaka saba kwa ajili ya Raheli; nayo ilionekana kwake kama siku chache tu, kwa ajili ya upendo aliokuwa nao kwake.

View File

@ -1 +1 @@
\v 21 21 Kisha Yakobo akamwambia Labani, "Nipe mke wangu, kwani siku zangu zimetimia - ili kwamba nimwoe! \v 22 22 Hivyo Labani akawaalika watu wa mahali hapo na kuandaa sherehe.
\v 21 Kisha Yakobo akamwambia Labani, "Nipe mke wangu, kwani siku zangu zimetimia - ili kwamba nimwoe! \v 22 Hivyo Labani akawaalika watu wa mahali hapo na kuandaa sherehe.

View File

@ -1 +1 @@
\v 23 23 Wakati wa jioni, Labani akamchukua Lea binti yake mkubwa na kumleta kwa Yakobo, aliyelala naye. \v 24 24 Labani akampa mtumishi wake wakike Zilpa kuwa mjakazi wa Lea. \v 25 25 Ilipofika asubuhi, tazama, kumbe ni Lea! Yakobo akamwambia Labani, "Ni nini hiki ulichonifanyia? Je sikukutumikia kwa ajili ya Raheli? Kwa nini basi umenihadaa?
\v 23 Wakati wa jioni, Labani akamchukua Lea binti yake mkubwa na kumleta kwa Yakobo, aliyelala naye. \v 24 Labani akampa mtumishi wake wakike Zilpa kuwa mjakazi wa Lea. \v 25 Ilipofika asubuhi, tazama, kumbe ni Lea! Yakobo akamwambia Labani, "Ni nini hiki ulichonifanyia? Je sikukutumikia kwa ajili ya Raheli? Kwa nini basi umenihadaa?

View File

@ -1 +1 @@
\v 26 26 Labani akamwambia, "Siyo utamaduni wetu kumtoa bindi mdogo kabla ya mzaliwa wa kwanza. \v 27 27 Timiza juma la bibi arusi, na tutakupa yule mwingine pia kwa mbadala wa kunitumikia miaka mingine saba."
\v 26 Labani akamwambia, "Siyo utamaduni wetu kumtoa bindi mdogo kabla ya mzaliwa wa kwanza. \v 27 Timiza juma la bibi arusi, na tutakupa yule mwingine pia kwa mbadala wa kunitumikia miaka mingine saba."

View File

@ -1 +1 @@
\v 28 28 Yakobo akafanya hivyo, na akatimiza juma la Lea. Kisha Labani akampa Raheli binti yake kuwa mke wake. \v 29 29 Lakini pia Labani akampa Raheli binti yake Bilha, kuwa mjakazi wake. \v 30 30 Hivyo Yakobo akalala na Raheli, pia, lakini akampenda Raheli zaidi ya Lea. Hivyo Yakobo akamtumikia Labani kwa miaka saba mingine.
\v 28 Yakobo akafanya hivyo, na akatimiza juma la Lea. Kisha Labani akampa Raheli binti yake kuwa mke wake. \v 29 Lakini pia Labani akampa Raheli binti yake Bilha, kuwa mjakazi wake. \v 30 Hivyo Yakobo akalala na Raheli, pia, lakini akampenda Raheli zaidi ya Lea. Hivyo Yakobo akamtumikia Labani kwa miaka saba mingine.

View File

@ -1 +1 @@
\v 31 31 Yahwe akaona kwamba Lea hakupendwa, hivyo akalifungua tumbo lake, lakini Raheli hakuwa na mtoto. \v 32 32 Lea akashika mimba na kuzaa mwana, naye akamwita Rubeni. Kwani alisema, "Kwa sababu Yahwe ameliangalia teso langu; bila shaka mme wangu sasa atanipenda."
\v 31 Yahwe akaona kwamba Lea hakupendwa, hivyo akalifungua tumbo lake, lakini Raheli hakuwa na mtoto. \v 32 32 Lea akashika mimba na kuzaa mwana, naye akamwita Rubeni. Kwani alisema, "Kwa sababu Yahwe ameliangalia teso langu; bila shaka mme wangu sasa atanipenda."