Wed Apr 19 2023 03:41:44 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-19 03:41:45 -07:00
parent dd4c02ca6a
commit 2c48d63d5a
3 changed files with 4 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 7 Malaika wa Yahwe akamkuta karibu na chemichemi ya maji katika jangwa, chemichemi iliyo katika njia kuelekea Shuri. \v 8 Akasema, "Hajiri, mtumishi wa Sarai, umetoka wapi na unakwenda wapi?" Na akasema, ninamtoroka bibi yangu Sarai."
\v 7 Malaika wa Yahwe akamkuta karibu na chemichemi ya maji katika jangwa, chemichemi iliyo katika njia kuelekea Shuri. \v 8 Akasema, "Hajiri, mtumishi wa Sarai, umetoka wapi na unakwenda wapi?" Na akasema, "Ninamtoroka bibi yangu Sarai."

View File

@ -1 +1 @@
\v 9 \v 10 9 Malaika wa Yahwe akamwambia, " Rudi kwa bibi yako, na unyenyekee chini ya mamlaka yake." 10 Kisha Malaika wa Yahwe akamwambia, "Nitazidisha uzao wako maradufu, kiasi kwamba watakuwa wengi wasioweza kuhesabika."
\v 9 9 Malaika wa Yahwe akamwambia, "Rudi kwa bibi yako, na unyenyekee chini ya mamlaka yake." \v 10 Kisha Malaika wa Yahwe akamwambia, "Nitazidisha uzao wako maradufu, kiasi kwamba watakuwa wengi wasioweza kuhesabika."

View File

@ -211,6 +211,7 @@
"15-17",
"16-title",
"16-01",
"16-05"
"16-05",
"16-07"
]
}