Tue Apr 18 2023 11:46:15 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)
This commit is contained in:
parent
f153003a6c
commit
26daeb0c3a
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 4 \v 5 4 Basi Abimeleki alikuwa bado hajamkaribia hivyo akasema, "Bwana, Je utaua hata taifa lenye haki? 5 Je si yeye mwenyewe aliye niambia, 'Sara ni dada yangu?' Hata Sara mwenyewe alisema, 'ni kaka yangu.' Nimefanya hili katika uadilifu wa moyo wangu na katika mikono isiyo na hatia."
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 6 \v 7 6 Kisha Mungu akasema naye katika ndoto, "Kweli, ninajua pia kwamba umefanya hili katika uadilifu wa moyo wako, na pia nilikuzuia usitende dhambi dhidi yangu mimi. Ndiyo maana sikuruhusu umshike. 7 Kwa hiyo, mrudishe huyo mke wa mtu, kwa kuwa ni nabii. Atakuombea, na utaishi. Lakini usipo mrudisha, ujue kwamba wewe pamoja na wote walio wa kwako mtakufa hakika.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 8 \v 9 8 Abimeleki akaamka asubuhi na mapema akawaita watumishi wake wote waje kwake. Akawasimulia mambo haya yote, na watu wale wakaogopa sana. 9 Kisha Abimeleki akamwita Abraham na kumwambia, "Umetufanyia jambo gani? Ni kwa jinsi gani nimekutenda dhambi kwamba umeniletea mimi na ufalme wangu dhambi hii kubwa? Umenifanyia mimi jambo ambalo halipaswi kufanywa."
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 10 \v 11 \v 12 10 Abimeleki akamwambia Abraham, "Nini kilikushawishi wewe kutenda jambo hili?" 11 Abraham akasema, "Ni kwasababu nilifikiri hakika hakuna hofu ya Mungu katika sehemu hii, na kwamba wataniua kwa ajili ya mke wangu.' 12 Licha ya kwamba kweli ni dada yangu, binti wa baba yangu, ingawa si binti wa mama yangu; na ndiye alifanyika kuwa mke wangu.
|
Loading…
Reference in New Issue