Tue Apr 18 2023 11:30:14 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-18 11:30:15 -07:00
parent 265acfd519
commit 13e1157589
6 changed files with 6 additions and 0 deletions

1
18/24.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 24 \v 25 \v 26 24 Huenda wakawepo wenye haki hamsini katika mji. Je utawakatilia mbali na usiuache mji kwa ajili ya hao watakatifu hamsini walioko hapo? 25 Hasha usifanye hivyo, kuwauwa watakatifu pamoja na waovu, ili kwamba watakatifu watendewe sawa na waovu. Hasha! Je muhukumu wa ulimwengu wote hatatenda haki?" 26 Yahwe akasema, "Katika Sodoma nikipata watakatifu hamsini kwenye mji, nita uacha mji wote kwa ajili ya hao."

1
18/27.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 27 \v 28 27 Abraham akajibu na kusema, "Tazama, Nimeshika kusema na Bwana wangu, hata kama mimi ni mavumbi na majivu! 28 Itakuwaje ikiwa kuna watano pungufu katika idadi ya hao watakatifu hamsini? Je utaangamiza mji wote kwa upungufu wa hao watano?" Akasema, "Sitaangamiza, ikiwa nitapata watu arobaini na watano pale."

1
18/29.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 29 \v 30 \v 31 29 Akaongea naye tena, na kusema, "Itakuwaje ikiwa arobaini watapatikana pale?" Akajibu, "Sitafanya kwa ajili ya hao arobaini." 30 Akasema, Tafadhali usikasirike, Bwana, nikiongea. Pengine thelathini watapatikana pale." Akajibu, 'Sitafanya, ikiwa nitapata thelathini pale." 31 Akasema, Tazama, Nimeshika kusema na Bwana wangu! Pengine ishirini watapatikana pale." Akajibu, "Sitaharibu kwa ajili ya hao ishirini."

1
18/32.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 32 \v 33 32 Akasema, "Tafadhali usikasirike, Bwana, na nitasema jambo hili kwa mara ya mwisho. Huenda kumi wakaonekana kule." Na akasema, sitaangamiza kwa ajili ya hao kumi." 33 Yahwe akaendelea na njia yake mara tu baada ya kumaliza kuongea na Abraham, na Abraham akarudi nyumbani.

1
19/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 19 1 Malaika wawili wakaja Sodoma jioni, wakati ambao Lutu alikuwa amekaa langoni mwa Sodoma. Lutu akawaona, akainuka kuwalaki, na akainama uso wake chini ardhini. 2 Akasema, Tafadhari Bwana zangu, nawasihi mgeuke mwende kwenye nyumba ya mtumishi wenu, mlale pale usiku na muoshe miguu yenu. Kisha muamke asubuhi na mapema muondoke." Nao wakasema, "Hapana, usiku tutalala mjini." 3 Lakini akawasihi sana, mwishowe wakaondoka pamoja nae, na wakaingia katika nyumba yake. Akaandaa chakula na kuoka mkate usiotiwa chachu, wakala.

1
19/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 19