diff --git a/12/14.txt b/12/14.txt index 8b640f6..bebcba1 100644 --- a/12/14.txt +++ b/12/14.txt @@ -1 +1 @@ -14 Ikawa kwamba Abram alipoingia Misri, Wamisri wakaona kwamba Sarai ni mzuri sana. 15 Wakuu wa Farao wakamuona, na kumsifia kwa Farao, na huyu mwanamke akachukuliwa kupelekwa nyumbani mwa Farao. 16 Farao akamtendea kwa wema Abram kwa ajili yake, na akampatia kondoo, maksai, punda waume watumishi wa kiume, watumishi wa kike, punda wake, na ngamia. \ No newline at end of file +\v 14 \v 15 \v 16 14 Ikawa kwamba Abram alipoingia Misri, Wamisri wakaona kwamba Sarai ni mzuri sana. 15 Wakuu wa Farao wakamuona, na kumsifia kwa Farao, na huyu mwanamke akachukuliwa kupelekwa nyumbani mwa Farao. 16 Farao akamtendea kwa wema Abram kwa ajili yake, na akampatia kondoo, maksai, punda waume watumishi wa kiume, watumishi wa kike, punda wake, na ngamia. \ No newline at end of file diff --git a/12/17.txt b/12/17.txt new file mode 100644 index 0000000..3c7f2fd --- /dev/null +++ b/12/17.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 17 \v 18 \v 19 \v 20 17 Kisha Yahwe akampiga Farao na nyumba yake kwa mapigo makuu kwa sababau ya Sarai, mke wa Abram. 18 Farao akamwita Abram na kusema, "Nini hiki ambacho umenifanyia? Kwa nini hukuniambia kuwa alikuwa mke wako? 19 Kwa nini ulisema, 'ni dada yangu; na mimi nikamchukua kuwa mke wangu? Sasa kwa sababu hiyo huyu hapa mke wako. Mchukue na uende zako." 20 Kisha Farao akatoa amri kwa watu wake kuhusiana naye, na wakamuondoa, yeye pamoja na mke wake na vyote alivyokuwa navyo. \ No newline at end of file diff --git a/13/01.txt b/13/01.txt new file mode 100644 index 0000000..e0a51cb --- /dev/null +++ b/13/01.txt @@ -0,0 +1 @@ +\c 13 \v 1 \v 2 1 Kwa hiyo Abram akaondoka akatoka Misri na akaenda Negebu, Yeye, mke wake, na vyote alivyokuwa navyo. Lutu pia akaenda pamoja naye. 2 Na sasa Abram alikuwa tajiri wa mifugo, fedha na dhahabu. \ No newline at end of file diff --git a/13/03.txt b/13/03.txt new file mode 100644 index 0000000..00fb584 --- /dev/null +++ b/13/03.txt @@ -0,0 +1 @@ +3 Aliendelea na safari yake kutoka Negebu hadi Betheli, mahali ambapo hema yake ilikuwa tangu mwanzo, kati ya Betheli na mji wa Ai. 4 Akaenda mahali ambapo madhabahu ilikuwa imejengwa mwanzoni. Hapa akaliitia jina la Yahwe. \ No newline at end of file diff --git a/13/title.txt b/13/title.txt new file mode 100644 index 0000000..bce1766 --- /dev/null +++ b/13/title.txt @@ -0,0 +1 @@ +Sura 13 \ No newline at end of file