Tue Apr 18 2023 23:13:36 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-18 23:13:37 -07:00
parent 426787fa8b
commit 0505374b81
3 changed files with 2 additions and 3 deletions

View File

@ -1,2 +1,2 @@
\v 3 Ikawa kwamba baada ya muda Kaini alileta
sehemu ya mazao ya ardhi kama sadaka kwa Yahwe. \v 4 Habili pia, alileta sehemu ya wazao wa kwanza wa wanyama wake na sehemu zilizonona. Yahwe akamkubali Habili pamoja na sadaka yake, \v 5 lakini Kaini pamoja na sadaka yake Mungu hakuikubali. Kwa hiyo Kaini alikasirika sana, na uso wake ukakunjamana.
sehemu ya mazao ya ardhi kama sadaka kwa Yahwe. \v 4 Habili pia, alileta sehemu ya wazao wa kwanza wa wanyama wake na sehemu zilizonona. Yahwe akamkubali Habili pamoja na sadaka yake, \v 5 lakini Kaini pamoja na sadaka yake, Mungu hakuikubali. Kwa hiyo Kaini alikasirika sana, na uso wake ukakunjamana.

View File

@ -1 +1 @@
\v 6 Yahwe akamwambia Kaini, " kwa nini umekasirika na kwa nini uso wako umekunjamana? \v 7 Kama ukifanya vema, je hutapata kibali? lakini kama hutafanya lilio jema, dhambi iko inakuotea mlangoni na inatamani kukutawala, lakini inakupasa uishinde.
\v 6 Yahwe akamwambia Kaini, "Kwa nini umekasirika na kwa nini uso wako umekunjamana? \v 7 Kama ukifanya vema, je hutapata kibali? Lakini kama hutafanya lilio jema, dhambi iko inakuotea mlangoni na inatamani kukutawala, lakini inakupasa uishinde.

View File

@ -76,7 +76,6 @@
"04-title",
"04-01",
"04-03",
"04-06",
"04-08",
"04-10",
"04-13",