Tue Apr 18 2023 19:57:30 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-18 19:57:31 -07:00
parent 840ff75b3c
commit 01c8107dbb
6 changed files with 6 additions and 1 deletions

1
39/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 39 \v 1 \v 2 1 Yusufu akaletwa Misri. Potifa, aliyekuwa afisa wa Farao mkuu wa walinzi wa misri, akamnunua kutoka kwa Waishmaeli, waliokuwa wamempeleka pale. 2 Yahwe alikuwa pamoja na Yusufu na akawa mtu aliyefanikiwa. Aliishi katika nyumba ya Mmisri bwana wake.

1
39/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 \v 4 3 Bwana wake akaona kwamba Yahwe alikuwa pamoja naye na kwamba Yahwe alifanikisha kila kitu alichokifanya. 4 Yusufu akapata kibali mbele zake. Akamtumikia Potifa. Potifa akamfanya msimamizi juu ya nyumba yake, na kila alichokimiliki, akakiweka chini ya uangalizi wake.

1
39/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 \v 6 5 Ikawa alipomfanya msimamizi juu ya nyumba yake na juu ya kila kitu alichomiliki, Yahwe akaibariki nyumba ya Mmisri kwa sababu ya Yusufu. Baraka za Yahwe zilikuwa juu ya kila kitu alichokuwa nacho Potifa nyumbani na shambani. 6 Potifa akaweka kila alichokuwa nacho chini ya uangalizi wa Yusufu. Hakuwa na haja ya kufikiri juu ya lolote isipokuwa chakula alichokula tu. Basi Yusufu alikuwa kijana mzuri na wa kuvutia.

1
39/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 \v 8 \v 9 7 Ikawa baada ya hayo mke wa bwana wake akamtamani Yusufu. Akamwambia, "Lala nami." 8 Lakini yeye alikataa na kumwambia mke wa bwana wake, "Tazama, bwana wangu haangalii chochote nikifanyacho nyumbani, na ameweka kila kitu anachokimiliki chini ya uangalizi wangu. 9 Hakuna mtu aliye mkuu katika nyumba hii kuliko mimi. Hajanizuilia chochote isipokuwa wewe, kwa sababu wewe ni mkewe. Ni kwa namna gani basi naweza kufanya uovu mkuu namna hii na kumtenda dhambi Mungu?

1
39/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 \v 11 \v 12 10 Akamwambia Yusufu siku baada ya siku, lakini yeye akakataa kulala naye wala kuwa naye. 11 Ikawa siku moja aliingia ndani kufanya kazi yake. Hakuna mtu yeyote wa nyumbani aliyekuwepo pale ndani. 12 Akashika nguo zake na kusema, "Lala nami." Akaacha nguo zake mikononi mwake, akakimbia, na kutoka nje.

View File

@ -1 +1 @@
S
Sura 39