Tue Apr 18 2023 20:01:30 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)
This commit is contained in:
parent
7bee1e3168
commit
01b3aefa11
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\c 40 \v 1 \v 2 \v 3 1 Ikawa baada ya mambo haya, mnyweshaji wa mfalme wa Misri na mwokaji wa mfalme walimkosa bwana wao, mfalme wa Misri. 2 Farao akawakasirikia hawa maafisa wawili, mkuu wa wanyweshaji na mkuu wa waokaji. 3 Akawaweka katika lindo katika nyumba ya kapteni wa walinzi, katika gereza lile Yusufu alimofungwa.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 4 \v 5 4 Kapteni wa walinzi akamweka Yusufu kuwa mtumishi wao. Walikaa kifungoni kwa muda fulani. 5 Wote wakaota ndoto - mnyweshaji na mwokaji wa mfalme wa Misri waliokuwa wamefungwa gerezani - kila mmoja akaota ndoto usiku huo huo, na kila ndoto ilikuwa na tafsiri yake.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 6 \v 7 \v 8 6 Yusufu akaja kwao asubuhi na kuwaona. Tazama, walikuwa na huzuni. 7 Akawauliza maafisa wa Farao waliokuwa pamoja naye kifungoni katika nyumba ya bwana wake, kusema, "Kwa nini leo mnaoneka wenye huzuni?" 8 Wakamwambia, Sisi wote tumeota ndoto na hakuna wakuitafsiri." Yusufu akawambia, "Je tafsiri haitoki kwa Mungu? Niambieni, tafadhali."
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 9 \v 10 \v 11 9 Mkuu wa wanyweshaji akamwambia Yusufu ndoto yake. Akamwambia, "Katika ndoto yangu, tazama, kulikuwa na mzabibu mbele yangu. 10 Na kulikuwa na matawi matatu katika mzabibu huo. Ulipochipua, ukachanua maua na kuzaa vichala vya zabibu. 11 Kikombe cha Farao kilikuwa mkononi mwangu. Nikachukua zabibu na kuzikamua katika kikombe cha Farao, na kukiweka kikombe katika mkono wa Farao."
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 12 \v 13 12 Yusufu akamwambia, "Tafsiri yake ni hii. Yale matawi matatu ni siku tatu. 13 Ndani ya siku tatu Farao atakiinua kichwa chako na kukurudisha katika nafasi yako. Utakiweka kikombe cha Farao katika mkono wake, kama ulivyokuwa ulipokuwa mnyweshaji wake.
|
Loading…
Reference in New Issue