Tue Apr 18 2023 13:10:19 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)
This commit is contained in:
parent
5c108e657c
commit
019e039a9a
|
@ -1 +1 @@
|
|||
41 Esau akamchukia Yakobo kwa sababu ya baraka ambayo baba yake alimpa. Esau akajisemea moyoni, "Siku za maombolezo kwa ajili ya baba yangu zinakaribia; baada ya hapo nitamwua Yakobo ndugu yangu." 42 Rebeka akaambiwa maneno ya Esau mwanawe mkubwa. Hivyo akatuma na kumwita Yakobo mwanawe mdogo na kumwambia, "Tazama, Esau ndugu yako anajifariji juu yako kwa kupanga kukuuwa.
|
||||
\v 41 \v 42 41 Esau akamchukia Yakobo kwa sababu ya baraka ambayo baba yake alimpa. Esau akajisemea moyoni, "Siku za maombolezo kwa ajili ya baba yangu zinakaribia; baada ya hapo nitamwua Yakobo ndugu yangu." 42 Rebeka akaambiwa maneno ya Esau mwanawe mkubwa. Hivyo akatuma na kumwita Yakobo mwanawe mdogo na kumwambia, "Tazama, Esau ndugu yako anajifariji juu yako kwa kupanga kukuuwa.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 43 \v 44 \v 45 43 Kwa hiyo sasa, mwanangu, unisikie na kukimbilia kwa Labani, ndugu yangu, huko Harani. 44 Ukae naye kitambo, mpaka hasira ya ndugu yako itakapopungua, 45 hata hasira ya ndugu yako itakapokuondokea, na kusahau ulivyomtenda. Kisha nitatuma na kukurudisha kutoka pale. Kwa nini niwapoteze ninyi nyote katika siku moja?
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 46 46 Rebeka akamwambia Isaka, "Nimechoka na maisha kwa sababu ya hawa binti za Hethi. Ikiwa Yakobo atachukua mmojawapo wa binti wa Hethi kuwa mkewe, kama wanawake hawa, baadhi ya binti za nchi, maisha yatakuwa na maana gani kwangu?"
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\c 28 \v 1 \v 2 1 Isaka akamwita Yakobo, akambariki, na kumwagiza, "Usichukue mwanamke katika wanawake wa Kikanaani. 2 Inuka, nenda Padani Aramu, katika nyumba ya Bethueli baba wa mama yako, na uchukue mwanamke pale, mmojawapo wa binti za Labani, kaka wa mama yako.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
3 Mungu Mwenyezi na akubariki, akupe uzao na akuzidishe, hata uwe wingi wa watu. 4 Na akupe baraka ya Ibrahimu, wewe, na uzao wako baada yako, kwamba uweze kumilki nchi ambapo umekuwa ukiishi, ambayo Mungu alimpa Ibrahimu."
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Sura 28
|
Loading…
Reference in New Issue