1 line
310 B
Plaintext
1 line
310 B
Plaintext
|
\v 21 \v 22 21 Wakasemezana wao kwa wao, "Kwa kweli tuna hatia juu ya ndugu yetu kwani tuliona tabu ya nafsi yake alipotusihi nasi hatukusikia. Kwa hiyo taabu hii imeturudia." 22 Rubeni akawajibu, "Je sikuwambia, 'Msitende dhambi juu ya kijana,' lakini hamkusikia? Basi, tazama, damu yake inatakiwa juu yetu."
|