sw_gen_text_ulb/41/33.txt

1 line
228 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 33 \v 34 33 Basi Farao atafute mtu mwenye maarifa na busara, na kumweka juu ya nchi ya Misri. 34 Farao na afanye hivi: achague wasimamizi juu ya nchi. Na wachukue sehemu ya tano ya mazao ya Misri katika miaka saba ya shibe.