sw_gen_text_ulb/25/01.txt

1 line
352 B
Plaintext
Raw Normal View History

\c 25 \v 1 \v 2 \v 3 \v 4 1 Abraham akaoa mke mwingine; jina lake aliitwa Ketura. 2 Akamzalia Zimrani, Jokshani, Medani, Midiani, Ishbaki, na Shua. 3 Jokshani akamzaa Sheba na Dedani. Wana wa Dedani walikuwa ni Waashuru, Waletushi, na Waleumi. 4 Wana wa Midiani walikuwa ni Efa, Eferi, Hanoki, Abida, na Eldaa. Hawa wote walikuwa ni wana wa Ketura.