sw_gen_text_ulb/32/06.txt

1 line
356 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 6 \v 7 \v 8 6 Wajumbe wakarudi kwa Yakobo na kusema, "Tulikwenda kwa Esau ndugu yako. Anakuja kukulaki, na watu mia nne pamoja naye." 7 Ndipo Yakobo alipoogopa sana na kutaabika. Hivyo akagawanya watu aliokuwa nao katika kambi mbili, na kondoo pia, mbuzi na ngamia. 8 Akasema, "Ikiwa Esau ataishambulia kambi moja, ndipo kambi nyingine itakaposalimika."