\v 28 Kisha Abraham akatenga wanakondoo wa kike saba peke yao. \v 29 Abimeleki akamwambia Abraham, "Nini maana ya hawa wanakondoo wa kike saba ambao umewatenga peke yao?" \v 30 Akajibu, "Hawa wanakondoo wa kike saba utawapokea kutoka mkonono mwangu, ili kwamba uwe ushahidi kwangu, kuwa nilichimba kisima hiki."