sw_gen_text_ulb/37/03.txt

2 lines
235 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 3 \v 4 3 Basi Israeli akampenda Yusufu kuliko wanawe wote kwa sababu alikuwa mwana wa uzee wake. Akamshonea vazi zuri.
4 Ndugu zake wakaona kwamba baba yao alimpenda sana kuliko ndugu zake wote. Wakamchukia na hawakuongea naye vema.