1 line
276 B
Plaintext
1 line
276 B
Plaintext
|
\v 19 \v 20 19 Watumishi wa Isaka walipochimba katika bonde, wakaona kisima cha maji yaliyokuwakuwa yakibubujika. 20 Wachungaji wa Gerari wakagombana na wachungaji wa Isaka, na kusema, "Haya ni maji yetu."Hivyo Isaka akakiita kisima hicho "Eseki," kwa sababu waligombana naye.
|