sw_gen_text_ulb/13/16.txt

1 line
383 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 16 \v 17 \v 18 16 Nitawafanya uzao wako kuwa wengi kama mavumbi ya nchi, kiasi kwamba kama kuna mtu anaweza kuhesabu mavumbi ya nchi, ndipo na uzao wako pia utahesabika. 17 Inuka, tembea katika urefu na upana wa nchi hii, kwa kuwa nitakupatia." 18 Kwa hiyo Abram akachukua hema yake, akaja na kukaa katika mwaloni wa Mamre, ambao uko Hebroni, na pale akajenga Madhabahu ya Yahwe.