sw_dan_text_ulb/04/28.txt

1 line
294 B
Plaintext

\v 28 Vitu hivi vyote vilitokea kwa mfalme Nebukadneza. \v 29 Baada ya miezi kumi na miwili alipokuwa akitembea juu ya dari la ikulu ya kifalme katika Babeli, \v 30 na alisema, " Je, hii si Babeli kuu, ambayo nimeijenga kwa ajili ya makao yangu ya kifalme, kwa ajili ya utukufu wa enzi yangu?"