sw_dan_text_ulb/10/10.txt

1 line
295 B
Plaintext

\v 10 Mkono ulinigusa, na ilinifanya nitetemeke katika magoti yangu na viganja vya mikono yangu. \v 11 Malaika aliniambia, "Danieli, mtu aliyetunzwa sana, yafahamu maneno ninayokwambia wewe. Simama wima, kwa kuwa nimeshakutuma." Na alipomaliza kuniambia ujumbe huu, nilisimama nikiwa natetemeka.