sw_dan_text_ulb/08/15.txt

1 line
435 B
Plaintext

\v 15 Wakati mimi Danieli, nilipoona maono, nilijaribu kuyaelewa. na hapo mbele yangu alisimama yule aliyeoneakana kama mtu. \v 16 Niliisikia sauti ya mtu ikiita katikati ya kingo za mfereji wa Ulai. Alisema, "Gabrieli, msaidie mtu huyu kuelewa maono." \v 17 Basi alikuja karibu na mahali niliposimama. Na alipokuja, niliogopa na nilisujudia hadi chini. Aliniambia,"Fahamu, mwana wa mtu, kwamba maono ni kwa ajili ya wakati wa mwisho."